Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,305
- 26,431
Utateseka sana sukuma gang. Na badoKuna watu hawa.
1. Bashiru Ally
2.Kasim Majaliwa
3.Antony Mtaka.
4. Paul Makonda

Hatutaki mtu wa kama yuleNimekuwa nikifikiri jinsi namba moja alivyopatikana na hatimae kawa namba Moja Kweli Bila kutarajia nafsi zote hzo alizo hudumu hadi hivi sasa.
Sasa siyo vibaya tukawa na list ya watu wanao weza kufanya hi kaz nyepesi kbsa.
Sasa 2025 siyo mbali Ni Bora tukamuandaa mtu mwingine mapema kwani Kuna kila dalili kwamba hata gombea Tena awamu hyo 2025 hvyo ni vzr tuwe na watu wakufanya kaaz hi iliyo mshinda.
Nafikiria
1. Polepole angetufaa ila Hana mke
2. Bashiru All Kakurwa pia afikiriwe atupelek ktk nnchi ya ahadi jamaa ni 89% ni Magufull kabisa
3. Mwigulu ila hafai kbsa siasa zake ni za hovyo sanaa hasa kwa upinzani
Kwa upinzani, tumpe Lisu tu Hana mpizaani kbsa anaweza kbsa.
Kama una mgombea wako una muhusudi ni vzr pia awekwe hapa huenda tukaunga mkono wazo lako.
CCM imetekwaa siku nyingiKwanza tuibinafsishe CCM kwa DP world ndo mambo mengine yaje
Sasa huyu hangawa ameweza nn jmnHatutaki mtu wa kama yule
Mimi ninao wanne:Nimekuwa nikifikiri jinsi namba moja alivyopatikana na hatimae kawa namba Moja Kweli Bila kutarajia nafsi zote hzo alizo hudumu hadi hivi sasa.
Sasa siyo vibaya tukawa na list ya watu wanao weza kufanya hi kaz nyepesi kbsa.
Sasa 2025 siyo mbali Ni Bora tukamuandaa mtu mwingine mapema kwani Kuna kila dalili kwamba hata gombea Tena awamu hyo 2025 hvyo ni vzr tuwe na watu wakufanya kaaz hi iliyo mshinda.
Nafikiria
1. Polepole angetufaa ila Hana mke
2. Bashiru All Kakurwa pia afikiriwe atupelek ktk nnchi ya ahadi jamaa ni 89% ni Magufull kabisa
3. Mwigulu ila hafai kbsa siasa zake ni za hovyo sanaa hasa kwa upinzani
Kwa upinzani, tumpe Lisu tu Hana mpizaani kbsa anaweza kbsa.
Kama una mgombea wako una muhusudi ni vzr pia awekwe hapa huenda tukaunga mkono wazo lako.
Mkuu wa mkoa dasalamaNimekuwa nikifikiri jinsi namba moja alivyopatikana na hatimae kawa namba Moja Kweli Bila kutarajia nafsi zote hzo alizo hudumu hadi hivi sasa.
Sasa siyo vibaya tukawa na list ya watu wanao weza kufanya hi kaz nyepesi kbsa.
Sasa 2025 siyo mbali Ni Bora tukamuandaa mtu mwingine mapema kwani Kuna kila dalili kwamba hata gombea Tena awamu hyo 2025 hvyo ni vzr tuwe na watu wakufanya kaaz hi iliyo mshinda.
Nafikiria
1. Polepole angetufaa ila Hana mke
2. Bashiru All Kakurwa pia afikiriwe atupelek ktk nnchi ya ahadi jamaa ni 89% ni Magufull kabisa
3. Mwigulu ila hafai kbsa siasa zake ni za hovyo sanaa hasa kwa upinzani
Kwa upinzani, tumpe Lisu tu Hana mpizaani kbsa anaweza kbsa.
Kama una mgombea wako una muhusudi ni vzr pia awekwe hapa huenda tukaunga mkono wazo lako.
Mwanukusi akiingia chama chochote. Nje ya cdm na ccm kura yangu anayo huyu mwamba nimemuelwa sana5. MWABUKUSI
Zuga tu hamna kitu alicheza na biti zileVipi kuhusu Katelefoni?
Mwigulu anapenda 10% za mikopo kila siku mikopo inakeraHii nchi itakiwa kuongozwa na rais mbabe asiyecheka na kima yeyote shambani awe wa ndani au wa nje. Kina mwigulu, makonda, chalamila na wengine wa kariba ya magufuli
Hapa ni Dr. Salaam na Majaliwa ao wengine hamna kitu1. Joseph Butiku
2. Humphrey Polepole
3. Bashiru Ally
4. Dr. Slaa
5. Tundu Lissu
6. Job Ndugai
7. Kassim Majaliwa
8. William Lukuvi
9. Halima Mdee
10. Paul Makonda