Recent content by kimdundulusi

  1. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania DAR: Mvua kubwa inayonyesha maeneo mbalimbali ya Jiji na baadhi ya maeneo nchini hali ikoje ulipo?

    Na ni Tanzania pekee ambapo Punda wanawekewa traffic right.
  2. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kuku wa kienyeji kwa Mkoa wa Mbeya

    Kuku wa kienyeji siku hizi lina maana nyingi. Any way ngoja waje wafugaji.
  3. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Kusema kwamba Rais Magufuli hashauriki wala hapendi kusemwa ni kumuonea tu mtumishi huyu wa watanzania

    Nikama sijakuelewa ulivyomalizia uzi wako 'ACHA KUTUMIA JINA LA RAIS ILI KUVUTA WAUMINI. Kwani kutumia jina la Rais kunawavutia waumini? Na kwa nini waumini wavutiwe na jina la Rais likisemwa vibaya? Mmmh HAPA KUNA NAMNA.
  4. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

  5. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Christmas songs special thread

    Baba Gastoni - kakolele
  6. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Kumbe kufilisika kupo? Kama hili linawatokea Roman Catholic, sisi wengine je?

    Mkuu labda nikwambie hivi. Mashule, vyuo, mahospitali pamoja na miradi mingine mingi ni kwamba ipo chini ya RC lakini kiutendaji inajiendesha yenyewe. Kwa hiyo suala la kusema RC inafilisika eti kwa sababu wafanya kazi wa chuo flani hawajalipwa mishara halihusiani na dini nzima ya RC. HATA...
  7. kimdundulusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kudanganywa na kumtumia msichana nauli halafu hakuja?

    Hapo sawa umenifurahisha
  8. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka najiona fala sana, asante sana Mungu, huenda kuna funzo ulitaka nipate!

    Maada kama hizi huwa sichangii.
  9. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza kubomolewa kwa Makao Makuu ya TANESCO na Wizara ya Maji, kupisha ujenzi wa barabara Ubungo

    Unapata kinywaji gani, Hivi pale Tanesco ubungo ni Wizara?
  10. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza kubomolewa kwa Makao Makuu ya TANESCO na Wizara ya Maji, kupisha ujenzi wa barabara Ubungo

    Habari za jioni wanabody! Kama swali lilivyojieleza hapo juu. Nimeshangazwa sana na kitendo cha watanzania wenzetu waliokuwa wakimsikiliza mubashara Mh JPM alipotangaza kuvunjwa kwa Jengo ya Tanesco na Maji pale Ubungo. Binafsi nimejiuliza hivi hayo Majengo yanamilikiwa na nani na hiyo...
  11. kimdundulusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nashindwa kuendelea kutongoza pale mwanamke anaponiambia "nina mtu"

    Nyie ndo watu mliokimbia mikoani sasa mko Dar mnakaa kwa Shemeji zenu mnafurahi kulala sebreni Ona sasa dharau zenu. Kwa taarifa yako kwa watu wa mikoani hiyo issue ni ndogo. Demu akijibu hivyo ataitambua hela ni nini.
  12. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokutana na adhabu toka kwa wanajeshi tuambie ilikuwaje

    Nina dem wangu mjeshi ila bado aanaendelea na mafunzo na tumepanga kuoana hapo baadae, hivyo vitisho mnavyo niambia nimeghaili simuoi ng'oo atajioa mwenyewe.
  13. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Naomba Mrejesho Kuhusu Mabillion waliyopaswa kulipwa Mwana FA na AY! Dhidi ya Tigo tz

    Wakuu habari za mida hii, Najua wengi mmechoka na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta mkate wakila siku, huku Nchi ikiwa na vituko visivyoisha kila kukicha. Lakini mnashukuru siku zinakwenda. Samahani kama ntakuwa nimeingilia habari zinazotrend nchini hivi sasa hasa hii ya kuachiwa...
  14. kimdundulusi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha: Deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 17 ndani ya mwaka mmoja

    Kwa nini wanataja deni hilo Interms of Dollar? . Wataje kwa mfumo wa Tsh ili na sisi huku Kolomije tusiojua Rate ya dollar tuelewe ni Tsh ngapi au tunaweza kuzipanga hizo hela barabarani zikafika hadi mpaka wapi?
Back
Top Bottom