Waziri wa fedha: Deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 17 ndani ya mwaka mmoja

real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,104
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,104 280
Serikali kupitia wizara ya fedha imesema kuwa deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 17 kutoka dola za kimarekeni milioni 22,000 mwezi Juni mwaka 2016 hadi kufikia dola za kimarekani milioni 26,000 mwezi Juni mwaka 2017.

Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philipo Mpango amesema hayo bungeni mjini Dodoma wakati akiwasilisha mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2018/2019 na mwongozo wa maandalizi ya mapango wa bajeti kwa mwaka 2018/2019.

Kwa mujibu wa Dkt. Mpango deni hilo la taifa linajumuisha deni la serikali lililofikia dola za kimarekani milioni 22, 000 na deni la sekta binafsi.

Katika hatua nyingine Dkt. Mpango amesema kuwa licha ya ongezeko hilo viashiria vinaonesha kuwa bado deni la taifa ni himilivu katika kipindi cha muda mfupi, mrefu na wa kati.

Ongezeko hili limechangiwa na mikopo mipya iliyochukuliwa kugharamia miradi ya maendeleo ikiwemo mradi wa ujenzi wa reli kwa kiwango cha Standard Gauge, mradi wa Stratergic Cities na mradi wa usafirishaji Dar Es Salaam DARTChanzo: Azam Tv
 
Denis denny

Denis denny

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Messages
5,776
Likes
7,599
Points
280
Denis denny

Denis denny

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2012
5,776 7,599 280
Huu ni mwanzo tu wala vumbi miaka ya hivi karibuni wataongezeka mirembe wengine watakutwa wamekakamaa kisijulikane kipi kimewaua...tufunge mikanda japo mheshimiwa ye mkanda katufunga shingoni kama mbwa.
 
Graph

Graph

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
1,765
Likes
3,593
Points
280
Graph

Graph

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
1,765 3,593 280
Kila nchi inadaiwa. Swali la muhimu ni je hizo pesa zinatumika kwenye shughuli za kuleta maendeleo? Kama jibu ni ndiyo hakuna shida. Wanajitahidi kujenga infrastructure hilo Magu ntamuunga mkono.
 
S

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
3,905
Likes
4,055
Points
280
S

singojr

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2014
3,905 4,055 280
Kila nchi inadaiwa. Swali la muhimu ni je hizo pesa zinatumika kwenye shughuli za kuleta maendeleo? Kama jibu ni ndiyo hakuna shida. Wanajitahidi kujenga infrastructure hilo Magu ntamuunga mkono.
We si tumeambiwa ndege tumenunua cash na reli tunajenga kwa fedha zetu ndio maana mambo mengine yamesimama,sasa unasemaje tena ni hela ya mkopo
 
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
1,751
Likes
2,322
Points
280
Age
36
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
1,751 2,322 280
Kila nchi inadaiwa. Swali la muhimu ni je hizo pesa zinatumika kwenye shughuli za kuleta maendeleo? Kama jibu ni ndiyo hakuna shida. Wanajitahidi kujenga infrastructure hilo Magu ntamuunga mkono.
Maendeleo ndo kujenga airport kijijini..??? Utamuungaje mkono?? Brother, are u serious..??
 
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
3,907
Likes
2,116
Points
280
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
3,907 2,116 280
Kila nchi inadaiwa. Swali la muhimu ni je hizo pesa zinatumika kwenye shughuli za kuleta maendeleo? Kama jibu ni ndiyo hakuna shida. Wanajitahidi kujenga infrastructure hilo Magu ntamuunga mkono.
Mkuu hujiulizi hizo fedha za deni zinazokopwa zinaenda wapi???unakumbuka magufuli alisema miradi yote ya ndani inajengwa na fedha za ndani????
Magufuli kuna usaniii flani anaufanya wa kudanganya umma
 
kimdundulusi

kimdundulusi

Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
20
Likes
41
Points
15
kimdundulusi

kimdundulusi

Member
Joined Aug 11, 2017
20 41 15
Kwa nini wanataja deni hilo Interms of Dollar? . Wataje kwa mfumo wa Tsh ili na sisi huku Kolomije tusiojua Rate ya dollar tuelewe ni Tsh ngapi au tunaweza kuzipanga hizo hela barabarani zikafika hadi mpaka wapi?
 
Kiraka

Kiraka

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Messages
2,656
Likes
730
Points
280
Kiraka

Kiraka

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2010
2,656 730 280
Kila nchi inadaiwa. Swali la muhimu ni je hizo pesa zinatumika kwenye shughuli za kuleta maendeleo? Kama jibu ni ndiyo hakuna shida. Wanajitahidi kujenga infrastructure hilo Magu ntamuunga mkono.
Kila siku tunajisifia kuwa makusanyo ni makubwa, kwa hiyo miradi yote inalipiwa kwa fedha za ndani, uchumi unapaa, sasa hili deni linaongezeka vipi kama sio uhuni? 17% sio mchezo jamani.
 
Forum statistics

Threads 1,237,587
Members 475,561
Posts 29,294,058