Recent content by kimbwigio

  1. K

    Kabla Bunge halijapitisha, Mwigulu aamuru polisi kuachia magari iliyoshikilia

    Wakati mwingine mijitu inapenda kuandika uharo mtupu kila kitu wapinzani wanakosoa tu sasa polisi wakamate au wakae na magari yalioisha road licence ili iweje kujaza nafasi tu vituo vya polisi upinzani si kupinga kila kitu.
  2. K

    Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

    Kujadili hili ni upuuzi Mkapa na Karamagi ndio chanzo cha matatizo yote na majibu wanayo wao pia huu upuuzi kama ungetokea China muda huu wangekuwa wameshanyonga mtu.
  3. K

    Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Tanzania ni nchi ya ajabu kabisa badala ya kufocus uhusiano mbaya kati ya polisi na watu kibiti, mkuranga tunadiscuss majina yao wakati tunajua mkoa wa pwani wengi wao waislamu...polisi wametoa hii taarifa kama kujifurahisha tu wakati wananchi wa kawaida wanapata tabu bora serikali ifanye...
  4. K

    Brother Mo Dewji, seriously??

    MO kimwili yupo Tanzania Kiroho yupo India kibiashara yupo Mozambique ni ngumu kudondoka alishasoma alama za nyakati muda mrefu tofauti na Manji.
  5. K

    Darasa adaiwa kuiba beat ya wimbo wake mpya (hasara roho)

    Wabongo bwana badala kujadili hoja mnamzungumzia mtoa hoja jinsia yake.... Nimesikiliza nyimbo zote mbili ni kweli zina beat moja.
  6. K

    Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    Darassa hana uwezo wa kutunga mashairi mazuri hata wimbo wake muziki hakutunga yeye wimbo wake wa hasara roho ndio kiwango cha Darassa kilipo na wala hatokuja kufikia tena level za wimbo wa muziki hata siku moja nyimbo zake zake zote anazotunga mwenyewe zinafanana kama ilivyo hasara roho...
  7. K

    Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

    Haina haija ya kutumia tafsda lipo wazi katibu mkuu wizara ya fedha ni mtoto wa dada yake raisi.
  8. K

    Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

    Cc:lizaboni...mkuu mara mwisho ulikuja na story DSTV wameshindwa kulipa pango wamewekaa vitu vyao viwanja vya leaders...leo umekuja na story ya perfume ya chibu Songea umehama kabisa upo Dar?mwache dogo afanye biashara wewe endelea na mambo yako ya lumumba kumsupport Magufuli na kumpinga Lowassa...
  9. K

    Lipumba: Kuna matukio yanapangwa nje ya chama cha CUF ili kifutwe kwa vurugu

    Sijasoma chochote wala kusikiliza chochote hapo juu ninachojua Lipumba ni mpuuzi njaa inasumbua na sigda kwenye paji la uso kama kitumbua hata sijui anaswali kitu gani zaidi ya kumpotezea mungu muda.
  10. K

    Kikwete ni Rais bora au watu wanamkomoa Magufuli?

    Tungemwacha tu Kikwete akapumzika kwa upande wa Magufuli katika maraisi wote watano waliopata kutawala Tanzania Magufuli ni raisi mbovu kuliko wote.. hakuna chochote atakachofanya cha maana kwenye utawala wake ukilalamika tu maisha magumu sembe hainunuliki mtaani unaambiwa wewe mpiga "deal"...
  11. K

    Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

    Mkuu nilivyoona story lugumi inabidi nicheke tu usanii mtupu hakuna wa kumuwajibisha Lugumi ndio maana kitwanga alijitia kimbelembele wakamla kichwa unless wanataka kodi kupitia vitenda vyake vidogo vidogo vya mambo ya ndani ambavyo ni propaganda tu but "real tender" nobody can touch Lugumi...
  12. K

    Msajili awaita Lipumba na Seif

    Upuuzi mtupu ....msajili na Lipumba lao moja hii ni sawa na mtu atembee na mkeo halafu awaite wewe na mkeo kuwasuluhisha kwa ugomvi ambao yeye ndio chanzo.
  13. K

    Lissu: Haijawahi tokea nafasi ya Jaji mkuu ikawa wazi kwa miezi 5 toka uhuru

    Faru John anajua fika vyeo vya Jaji mkuu na CAG ukimteua hauwezi kumtoa madarakani mpaka anastaafu mwenyewe so Jaji mkuu hawezi kurudia kosa kama anavyopata tabu kuhangaika kumtoa CAG ...anatafuta Jaji msukuma mkatoliki mpaka apatikane ndio atajaza hiyo nafasi.
  14. K

    TFDA: Ufafanuzi kuhusu usalama wa mafuta ya alizeti

    Mimi nadhani wafanyakazi wa TFDA na familia zao wayatumie hadharani ili wawe mfano wa kuigwa si vizuri kufanya siasa kwenye afya za watu research hupingwa kwa research si kupiga blah blah wameshatugeuza wabongo maboya kwa upande wangu siwezi kuyagusa tena.
Back
Top Bottom