Kabla Bunge halijapitisha, Mwigulu aamuru polisi kuachia magari iliyoshikilia

Kupitia TBC Habari Waziri wa Mambo ya ndani ameamuru jeshi la polisi kuachia magari yote yaliyokamatwa kwa kosa la kutokulipa kodi ya leseni ya barabara.

Mwigulu akiwa katika mkutano wa hadhara amewaelewa wananchi kwamba serikali imefuta kodi hiyo hivyo hategemei polisi kuendelea kukamata watu na kushikilia magari hayo

MY TAKE
Amri hii ya waziri imetoka kabla ya bunge kupitisha bajeti hiyo. Je, Mwigulu katumia mamlaka ipi?

Je, Mwigulu ni waziri mwenye mamlaka na kodi hiyo?Ninachofahamu mimi kodi hiyo hukusanywa na wizara ya fedha kupitia TRA na polisi inakuwa enforcement department tu lakini sio mkusanyaji, je Mwigulu amepewa na nani kuzungumzia kodi?
Kuna tatizo moja kubwa sana kuanzia serikalini, bungeni, vyombo vya habari na kwa jamii kwa ujumla. Kwamba wote hawa hujisahaulisha kwamba kinachopelekwa bungeni ni "Bajeti Pendekezwa" na sio "Bajeti". Ukisikiliza hotuba ya Waziri wa Fedha kuna maeneo ametumia maneno kama vile tayari hiyo ndio "Bajeti" na sio "proposed". Ukisoma headline kwenye magazeti siku iliyofuata baada ya kusomwa "Bajeti Pendekezwa" unaona imeripotiwa kama ndio "Bajeti" yenyewe. Sasa haishangazi leo akina Mwigulu wanatoa maagizo kama hayo! Na nimeona kuna namna mtazamo huu kama umekolea zaidi awamu hii! Kwa waliofuatilia juzi wakati hotuba ikisomwa hata Kiti chenyewe hakikuwa katika nafasi ya kufahamu kuwa kina kazi kubwa ya kuongoza mjadala wa kupata "Bajeti" yenyewe! Ni shidaaa...
 
Kisheria amekosea
1. Bajeti haijapita. Yawezekana kukawa na marekebisho.
2. Hayo magari yalikamatwa kabla ya bajeti. Hivyo hata kama bajeti itapita, kesi itaendelea tu maana yalikamatwa kabla ya kufuta.
3. Hana mamlaka ya kusamehe makosa kama hayo

:rolleyes:

Hata kama lilikuwepo lake au la mtu wake?
 
Hii kodi itakuwa kubwa kuliko tunavyo fikiri, mafuta ndio factor inayotoa muelekeo wa kila kitu, yakipanda hakuna kitu kitasalia, so hapa maumivu kama kawa
 
Kuna tatizo moja kubwa sana kuanzia serikalini, bungeni, vyombo vya habari na kwa jamii kwa ujumla. Kwamba wote hawa hujisahaulisha kwamba kinachopelekwa bungeni ni "Bajeti Pendekezwa" na sio "Bajeti". Ukisikiliza hotuba ya Waziri wa Fedha kuna maeneo ametumia maneno kama vile tayari hiyo ndio "Bajeti" na sio "proposed". Ukisoma headline kwenye magazeti siku iliyofuata baada ya kusomwa "Bajeti Pendekezwa" unaona imeripotiwa kama ndio "Bajeti" yenyewe. Sasa haishangazi leo akina Mwigulu wanatoa maagizo kama hayo! Na nimeona kuna namna mtazamo huu kama umekolea zaidi awamu hii! Kwa waliofuatilia juzi wakati hotuba ikisomwa hata Kiti chenyewe hakikuwa katika nafasi ya kufahamu kuwa kina kazi kubwa ya kuongoza mjadala wa kupata "Bajeti" yenyewe! Ni shidaaa...

Kwa kada fulani "awe anajua kusoma na kuandika";)
 
Kupitia TBC Habari Waziri wa Mambo ya ndani ameamuru jeshi la polisi kuachia magari yote yaliyokamatwa kwa kosa la kutokulipa kodi ya leseni ya barabara.

Mwigulu akiwa katika mkutano wa hadhara amewaelewa wananchi kwamba serikali imefuta kodi hiyo hivyo hategemei polisi kuendelea kukamata watu na kushikilia magari hayo

MY TAKE
Amri hii ya waziri imetoka kabla ya bunge kupitisha bajeti hiyo. Je, Mwigulu katumia mamlaka ipi?

Je, Mwigulu ni waziri mwenye mamlaka na kodi hiyo?Ninachofahamu mimi kodi hiyo hukusanywa na wizara ya fedha kupitia TRA na polisi inakuwa enforcement department tu lakini sio mkusanyaji, je Mwigulu amepewa na nani kuzungumzia kodi?
Kwanza nianze kwa kusema Mara nyingi wanasiasa huwa ni opotunist sana. kuna mambo mengi yametokea katika wizara inayomuhusu waziri huyu lakini kwa bahati mbaya au kutokujua haonikani mwenye matamko ya haraka kama hili lakini kwanini hili. Kwa mtazamo tu jambo hili limewagusa sana wananchi wengi tofauti na wale wananolalalmika tu kwa kila jambo bali hili limewagusa watu wengi mno na wengi wamenyanyasika sana na ndugu zangu polisi sio kwa maana mbaya bali ndio kazi ilivyowataka wakati kwa wengine ikawa kero.
Hivyo kwa kutoa tamko hilo amekuwa wakwanza kuonekana kama mpenda na mjali hisia sana hivyo watu kumfurahia sana.
Nampongeza kwa hilo japo kawai kuto maelekezo.

Ni hayo tu.
 
Wakati mwingine mijitu inapenda kuandika uharo mtupu kila kitu wapinzani wanakosoa tu sasa polisi wakamate au wakae na magari yalioisha road licence ili iweje kujaza nafasi tu vituo vya polisi upinzani si kupinga kila kitu.
 
Kupitia TBC Habari Waziri wa Mambo ya ndani ameamuru jeshi la polisi kuachia magari yote yaliyokamatwa kwa kosa la kutokulipa kodi ya leseni ya barabara.

Mwigulu akiwa katika mkutano wa hadhara amewaelewa wananchi kwamba serikali imefuta kodi hiyo hivyo hategemei polisi kuendelea kukamata watu na kushikilia magari hayo

MY TAKE
Amri hii ya waziri imetoka kabla ya bunge kupitisha bajeti hiyo. Je, Mwigulu katumia mamlaka ipi?

Je, Mwigulu ni waziri mwenye mamlaka na kodi hiyo?Ninachofahamu mimi kodi hiyo hukusanywa na wizara ya fedha kupitia TRA na polisi inakuwa enforcement department tu lakini sio mkusanyaji, je Mwigulu amepewa na nani kuzungumzia kodi?
Kama hayo magari yataachiwa bila kulipia hiyo kodi ya leseni ya barabara,basi na wale wote walio lipia katika kipindi ambacho hayo magari yalikamatwa basi warudishiwe fedha zao.
 
SHERIA HAIWEZI KUACT RETROSPECTIVELY. BUDGET MPYA(sheria) haijapitishwa bado, na hata ikipitishwa itaanza kutumika Julai Mosi. Ni kosa kuanza kutumia sheria ambayo haijapitishwa bado. Bunge lisiporidhia, au linafanya mabadiliko kidogo na Mwigulu ameshatoa maelekezo nini kitatokea.
 
Back
Top Bottom