Ameoa, hajaoa we jali kazi. Kazi ndo kitambulisho, unaweza ukaoa na ukwa unaibiwa na wanaume wenzio, sasa utakuwa umefanya nini; lakini kazi yako kwa wananchi ikiwa nzuri you will keep on helping them kwa matunda ya kazi yako leo na kesho.
We hujui Adam aliangushwa na mwanamke pale Eden...