Update za NHIF

Update za NHIF

Asante kwa info hiyo. Nimekuwa nakuaminia sana Tatiana kwenye ishu serious.
Na jokes pia 😉

Yo welcome... how can I joke kwa issue sensitive Kama ya kazi??
Intavyuu zinaendelea bado leo ni siku ya tatu kulikuwa na CLAIMS OFFICER post
 
Yo welcome... how can I joke kwa issue sensitive Kama ya kazi??
Intavyuu zinaendelea bado leo ni siku ya tatu kulikuwa na CLAIMS OFFICER post

Hawaiti tu hawa jamaa (NHIF)?
 
Kwa anayefahamu kama NHIF tayari wameshaita watu kwa ajili ya Oral Interview atujuze?tafadhali!

Wameshaita wanaowataka wakaacha wote waliofanya vizuri!!! Kwa taarifa tu ni kwamba walitoa majibu ya wanaowataka badala ya kutoa majibu kama TPDC kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho. NHIF ni ubabaishaji mtupu ndugu zangu; kuna haja ya kujiajiri kuliko hizi ajira za kiupendeleo. Wameshafanya pamoja na practical, wanasubiri kuajiri.
 
Back
Top Bottom