Dr. Slaa ni Jembe

Dr Slaa ni Jembe hakuna wa kupinga hapa labda wale mazezeta wa lumumba wenye I'd kumi kumi kila mmoja.

Dr Slaa ni kiboko ya mafisadi waTZ wote wanajua labda wale majuha wasiopenda kukubali kwa sababu ya maslahi binfsi

Samahani mkuu hivi dr slaa ameoa?
 
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane

Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.

Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!
Hypocrites! Hypocrites!! Dr be yourself you are the greatest!! Some hypocrites like JK Mzee wa Visasi was not required to visit Mandela let alone talking about forgiveness!! Devils incarnation!!!!!!!!!!!! Hell!!
 
Dr. Slaa ni jembe la CDM tu na wa ukanda wa kaskazini ..kwa nchi ni mmbado saaana....kama ni ligi basi Europa ligi sio Champions ligi...
 
Unasifu huku unageuka tena kama wa ccm bwana we vipi. Ukimaanisha kazi ni kazi, hao walioenda kuzika wamerudi na nini!!! Waache wafu wazike wafu wao.

Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane

Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.

Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!
 
Ameoa, hajaoa we jali kazi. Kazi ndo kitambulisho, unaweza ukaoa na ukwa unaibiwa na wanaume wenzio, sasa utakuwa umefanya nini; lakini kazi yako kwa wananchi ikiwa nzuri you will keep on helping them kwa matunda ya kazi yako leo na kesho.

We hujui Adam aliangushwa na mwanamke pale Eden ndugu??? Acha tabia ya kupenda wanawake hutafanya kazi
 
Unasifu huku unageuka tena kama wa ccm bwana we vipi. Ukimaanisha kazi ni kazi, hao walioenda kuzika wamerudi na nini!!! Waache wafu wazike wafu wao.
Nimekupata Kamanda! 2015 Ushindi Wetu... Pipooooooz ....
 
Back
Top Bottom