Kuongeza michepuo ya dini kweny mtaala wa elimu ni dalili za kuanguka kwa taifa..Mataifa yetu ya kiafrika hatuna shida na dini,shida yetu ni chakula,maradhi na miuondomsingi ya uchumi wetu...Tunahitaji teknolojia rahisi ya kulima,kufuga,kujenga,kuvuna maji ya mvua,tiba,TEHAMA,..Tukiweza hayo...