Wazulu bwana hawaaminiki kabisa wana kauli tata sana na hawaapendi wageni Ole wako uka mind msichana wa kwao halafu awe na mshikaji mzulu itakula kwako fasta.Si wakweli japo malofa sana ukipanga mpango wowote nao ujue lazima watakurostisha,Wajinga sana hawa jamaa ,
Lesotho sikwenda nalijua ni aibu tupu hata hivyo nilikuwa Kimberly kwa shughuli zangu kuna marafiki zangu walienda lakini walikuwa dissapointed sana.Sisi soka bado sanaa.
Naomba nikutahadharishe sasa hivi Harare kuna msako wa wahamiaji haramu.Pia Harare ina vibaka na matapeli kuliko ilivyokuwa mwanzo.Hasa kwenye boarder za Zim na SA unapekuliwa hadi nguo za ndani, Ukiingia South huko ndo balaa la mbwamwitu,Wao siyo vibaka ni...
Mada ya msingi sana katika kipindi hiki ambacho taifa lina nia ya kujenga kwa dhati uzalendo.JKT uliasisiwa na majemedari wa awamu ya kwanza mara baada ya Uhuru.Haikuwa na maana yoyote kulifuta au kuliendesha kunusuru nusu kama ilivyo sasa Mwaka mmoja ndani ya JKT ilitosha kuhitimisha kumjenga...
Hili siyo jambo la kusumbua wala kufikirisha jamii,Hapa ni swala la muda tu(TIME WILL TELL).CHADEMA kama vilivyo vyama vingine vyote vimetokana na CCM,Na CCM ina vizazi na vizazi,Lakini kadri muda unavyoenda inazidi kuchakaa na wala siyo kukomaa.Kuna wakati...
Ni hapo jana tu Madiwani wa Manispaa ya Mji wa Songea wakilumbana kurudisha stand ya mabasi katikati ya mji wa Songea kutoka pembezoni eneo la Msamala,Nje kidogo ya mji barabara ya kuelekea Njombe,ilikohamishiwa kwa muda.
Ni habari za kusikitisha kuona kwamba...
Ni dhahiri hakuna kama yeye kwa siasa za Tanzania.Ni Maalim Seif pekee yake ana uvumilivu wa siasa dhalimu za ukadamizaji na ubakaji wa demokrasia ,mwenye msimamo thabiti ,asiyeyumba wala kuyumbishwa.Kumbuka Salim Amoor alikuja akapita na ubabe wake,Kaja mzee wetu...
Katika hali isiyo ya kawaida Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam haina budi kuzuia magari kuingia katika eneo lote la maduka Kariakoo na Katikati ya Jiji –( City Centre) siku za mwisho wa wiki yaani Ijumaa,Jumamosi na Jumapili.Kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa 12...
Ushiboy; Umenena mengi sana lakini yale yaliyo hadharani tu, Yale ya ndani ukiacha hayo ya kukung'utwa bado mengi yasiyosemeka huna unayoyajua.Kwani ndoa ni ya wawili tu.Yapo Winnie atasema kuhusu Mandela lakini Mandela naye angekuwa nayo yanayomhusu Winnie,Hapo ndo...
:bowl:Mara nyingi tumekuwa tukishabikia kila kinachojitokeza kwa nguvu nyingi pasipo kutafakari kwa kina.Maisha yetu yamejawa na mvurugano wa kimawazo/kifikra zaidi achalia mbali ule wa kimasilahi.
Ni kweli kwa uduni wetu wa maisha umetufikisha mahali hata...
PICHA MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SIMU2000 | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Jina simu 2000 lilitokana na eneo hilo lilikuwa mali ya Posta na Simu Baada ya kugawanywa Simu kuwa TTCL na Posta kubakia peke yake , Ndipo iliundwa Kampuni ya kusimamia na kuuza mali zilizokuwa za Shirika la Posta na Simu likaitwa Simu 2000.Hivyo kiwanja hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.