Recent content by kimanu

  1. kimanu

    Am not materialistic but I still can't keep a man

    1. Know your position. Be a woman. 2. Treat men as men, jus like how your mother treated your dad. 3. Stop living a dream life. Life's nothing like what you see on Tv series. We are in africa, we need african women, not tv characters! 4. Plus your education is for you and yours only, when u r...
  2. kimanu

    Slow Love Songs Fans

    Forever be mine - Bitty McClean
  3. kimanu

    Slow Love Songs Fans

    Sometimes love just aint enough
  4. kimanu

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Pathetic! Bt ndio Tanzania yetu hii
  5. kimanu

    Wimbo Huu Unaitwaje na Umetungwa na Nani?

    Kama umeupenda huo, naamini utaupenda NA HUU hapa chini http://youtu.be/NPL5TVTRlhM
  6. kimanu

    Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

    ‘Sisi kazi yetu sio kupeleleza sana...." Teheeee🏃
  7. kimanu

    Naomba kujuzwa faida za mazoezi ya kuruka kamba

    Mazoezi bila kula kwa mpangilio ni kazi bure. Pangilia misosi. Kuacha kula na kuamua kula mara moja tu kwa siku ni kosa kubwa kuliko yote.
  8. kimanu

    Kaduma (wa sani) yuko wapi siku hizi?

    Alishafariki long time ago. Alikuwa ni mchoraji bora kabisa Tanzania of all time!
  9. kimanu

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    This is too deep! Sifurahishwi na namna wengi mnavyochukulia suala hili kiushabiki wa siasa. Mambo yakivurugika, hata familia zenu zitaathirika, tuacheni ujinga wa kushabikia siasa ,tuipende nchi yetu na wote wenye kuitakia mema. Hii chuki kati ya vyama inaharibu Utanzania wetu!!!! NI UPUUZI...
  10. kimanu

    Watanzania wanaoipigia kura CCM ni kina nani na kwanini?

    Heri mimi sijasema. Huwa najiuliza hili swali sipati majibu
  11. kimanu

    Gabrielle Union Reveals Her Secret to Staying Younger

    I really like her smile. I can watch a movie jus to see her smiling! Khs kunywa maji na protein shakes, ni kweli. Maji yanaondoa sumu mwilini na kuziongezea seli nguvu na kuziwekea mazingira mazuri ya pH zifanye kazi zake vizuri. Kazi ya protein ni kujenga mwili. In a sense that cell za...
  12. kimanu

    Ukweli kuhusu kipaji cha Messi

    Hebu tujadili hili suala..... Lionel Messi was administered the Human Growth Hormone (HGH) since the age of 9. "The use of HGH in a normal bodied human being acts as an anabolic steroid, but for Lionel Messi, it merely enabled to him to overcome a...
  13. kimanu

    Kauli 10 za walimu darasani

    You just crame, you will understand leter! Kwanza huwa haitoki kwenye mtihani
  14. kimanu

    Nimekosea?

    Ok tunaendelea....PART 2: ....nikamwambia kwani wewe unataka lini. Akashangaa. Alidhani nimekubali kirahisi sana. In short akawa surprised. Akaanza kujichekesha, akadai niache masihara eti anaipenda kweli. Nikamwambia ni kweli sikutanii. Jamaa akahisi labda kuna kamchezo nataka kumchezea...
  15. kimanu

    I am 42 yeas old and finished

    Tafuta ushauri wa kisaikolojia. Hayo unayopitia wapo wengi wenye matatizo zaidi. As long as umegundua you need a change, you should change namna unavyofikiri. Forget the past, angalia unachotaka kuachieve, then tafuta ushauri kwa unaowaamini. Better late than never!
Back
Top Bottom