Wakuu nimeupokea ushauri wenu kama wanaume wenzangu najua Leo kwangu kesho kwa mwingine maana hata mdogo Wa xwife alikuwa anaishi hapa kwangu ndio nimemwambia sas hivi napoandika ujumbe huu achape mwendo siitaji kumuona hapa kwakuwa Mimi na dadaake tumefika mwisho anasubili mvua ikate asepe zake
Miaka 13 iliyopita nilikuwa na mahusiano na Dada mmoja ambaye Leo hii ndio mke wangu lkn kabla sijamuoa tulipata mtoto mmoja kipindi napanga tufunge ndoa.
Ndugu zangu wakanitonya kuwa huyu wife anatoka na mtoto Wa Shangazi yangu na huyo first born wangu ni mtoto Wa huyo jamaa na mtoto wa yule...
Kuna hii imetokea kwa bwana mdogo wangu kaniomba ushauli nimeiona nililete jamvini huyu dogo anamke na watoto wawili kwa sasa tatizo lipo kwa mtoto Wa kwanza kabla hajamuoa huyu mkewe walizaa mtoto mmoja huyo Wa kwanza mwenye utata ndugu zetu Wa kike yaani Dada zetu wanasema huyu mkewe alikuwa...
Hapo juu nimechapia kidogo je ntakuwa nimekosea maana kipindi cha nyuma nilikaa na familia kubwa wamemaliza kusoma na wapovyuoni ila sasa nataka nikae Mimi na familia yangu sina cash ya familia kubwa ntakosea nikimwambia wife sitaki familia kubwa?
Minimekaa na familia ya upande wangu na Wa mke kwa muda ila kwa sasa uchumi wangu umeyumba nimeamua sitaki kukaa na familia kubwa lkn wife kaleta mdogo wake Wa kiume aje akae hapo home tena bila taatifa yaani nimeambiwa wakati wameshakubaliana sijakaa vizuri Luna msichana ndugu yake keshamwambia...
Kuna yule bibi pale ni hatari mm nimeomba mala2 wamechomoa na Nina cash bank 12mln na naenda kufikia kwa mtu no mfanyakazi Wa serikali lkn wamegoma Ila kuna wamasai wanakuja na vbb vya kiitaliano wanapewa visa ajabu sana
Tumia vitunguu saumu 8 piece na asali kila Sikh asubuhi kabla hujala chochote baada ya nusu saa ndio tia msosi hii Nouma Mzee hata mchana unaweza kukaa ukastukia mnala unanyanyuka wenyewe bila kujuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Chakufanya ludi nit kaongeze madaraja ya leseni yako kwakuwa huna cheti cha 4 ingia kwwnye mitandao huko kazi zinatangazwa kila siku cheki zoom Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.