Kwni huko aliko EDA hatafunwi na huyo Binamu yako? Kaka kama ulikubali kuoa ili hali unajua kuwa anadinywa na huyo ndugu yako sioni sababu ya unachokifanya kwa sasa wewe kubali tu muwe mnamdinya wawili. Ila na wewe utaowaje Demu wa ndugu yako kisa umetambulishwa? Ungemuachia huyo Ndugu yako sasa ona unachokivuna kwa sasa wao wanaendelea kudinyana wewe unaaendelea kushikilia mbupu.Miaka 13 iliyopita nilikuwa na mahusiano na Dada mmoja ambaye Leo hii ndio mke wangu lkn kabla sijamuoa tulipata mtoto mmoja kipindi napanga tufunge ndoa.
Ndugu zangu wakanitonya kuwa huyu wife anatoka na mtoto Wa Shangazi yangu na huyo first born wangu ni mtoto Wa huyo jamaa na mtoto wa yule ndugu yangu wanafana na first born wangu ktk kuchunguza sikujua ukweli nikapotezea nikaoa mpka sasa tunawatoto wawili huyu Wa sasa ni mm mwenyewe.
Tatizo limeanza nililonalo ambalo naomba mnishauli ni kuwa miezi miwili iliyopita nilisafiri kikazi wkt nipo mkoani wife alinipigia cm kuwa yule ndugu yangu kuna mzigo anamletea nikamwambia poa sasa nikiwa airport kuna jamaa yangu akanambia kamuona wife yupo maeneo usiku Wa sa5 na jamaa anamjua wife vizuri hawezi kumfananisha sikutaka kumpigia cm nilivyoludi dar nikamuuliza akabisha.
Nilipochukua cm yake nikakuta mwasiliano na yule ndugu yangu ambaye niliambiwa jamaa anamtafuna na hata first born wangu ni wake cm kama 8 za kufatana kumhoji kasema jamaa alipiga iliampe ulemzigo alikuwa anamuelekeza kuna mtu kampa amletee wife machale yakanicheza nikafanya nachokijua nikapata ukweli Wa Yale maongezi kumbe jamaa wanaelekezana na wife waonane wapi.
Then wanapnga jamaa aseme hayupo dar na mbaya jamaa kumbe anaiita mm taahira ananipigia cm ananiuliza akijua Niko wapi wanapanga na wife jinsi ya kunidanganya sababu huyu jamaa anaishi Arusha niliwaita wazazi wangu na wakwake mpka kwenye kikao wife aliapa miungu kuwa hakutoka nilipokuja kuwasikilizisha Yale maongezi wote walikaa kimya mpaka wife akaishiwa LA kuongea.
Mzee nikatoa talaka2 lkn wife na mamaangu ni marafiki kwahiyo mama kamchukua mkwewe anakaa nae mpaka EDA iishe waislamu ukiacha ndani ya miezi 3 unaweza mludia mkeo naombeni ushauli.
Mwakani nampango Wa kwenda kuishi Europe kwa muda sasa nawaza huyu mtu nikimludia nikamuacha home sindio itakuwa nimempa Uhuru Wa kufanya yake bora kila mtu aangalie maisha yake na hata nikiwa Europe niishi bila presha ya mke huku nyumbani tusaidiane mawazo wakuu kichwa kinanivuluga maana cjui nichukue uamuzi gani
Hauko Sahihi mkuu, huna uzoefu wa kuchapiwa. Mwanamke anayemkuna wakati huo ndiye anamuona dume la mbegu. Kwa vile huyu binamu ndiye anaikula K yake lazima atamthamini. Hata sie tuliitwa majina wakati mchepuko akiueleza kuwa ‘I will love you until the end of my life’ kwa sasa tukiwauliza wanabakia kulalamika kuwa hatusahau. Aangalie kama atakiri na kuomba msamaha ila lazima ahakikishe anamtatua binamu marinda yake mbele ya mke wake halafu atoe onyo la mwisho. Hii njia ilinisaidia sanaKwa jinsi ulivyoandika ni wazi bado unampenda mkeo. Pia ni wazi ulishajua ukweli toka tetesi zilipoanza toka kwa ndugu zako lakini ukaamua kujipa moyo kuwa si kweli. Kitendo cha kutoa talaka 2 ilhali una kila ithibati kuwa anazini tena na binamu yako ni ushahidi tosha kuwa unampenda mkeo.
Mwenye hulka yake habadiliki mkuu na hapo mlipofikia hamna ndoa tena zaidi ya shaka. Hata kama akijirekebisha tabia kitendo cha yeye hata kutopokea simu utahisi yupo na mtu mwingine. Msingi wa ndoa kabla hata ya mapenzi ni kuaminiana. Mshapoteza imani kwenye mahusiano yenu hivyo hapo hakuna tena ndoa.
Piga moyo konde, muache moja kwa moja na uanze maisha mapya. Huyo mwanamke hana mapenzi na wewe na wala hakuheshimu. Kitendo cha kuitwa tahira na ndugu yako (bwana'ake) ni ishara kuwa hakuthamini hata chembe na kwao wewe ni kituko tu.
Mbali ya huyo mke hata mama yako japo ni mzazi wako nae si mtu mzuri kama anaweza kumhifadhi mtu aliyekudhalilisha ina maanisha kuna walakini juu ya upendo wake kwako. Wewe ni mwanaume inabidi usimame imara katika kutetea uanaume wako. Kuna maisha zaidi ya huyo mwanamke na kama usemavyo una mpango wa kwenda kuishi Europe, hiyo ndio nafasi yako ya kwenda kuanza upya.
Mwisho wa siku hapa wote ni wachangiaji tu, mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe. Pole ndugu.
Unafanya kazi gani boss??? Kwanini hujui tofauti kati ya R & L?
wanao ua sio wakatili kama tunavyofikiri kuna vitu huwa vinawapelekea wachukue maamuzi magumuMiaka 13 iliyopita nilikuwa na mahusiano na Dada mmoja ambaye Leo hii ndio mke wangu lkn kabla sijamuoa tulipata mtoto mmoja kipindi napanga tufunge ndoa.
Ndugu zangu wakanitonya kuwa huyu wife anatoka na mtoto Wa Shangazi yangu na huyo first born wangu ni mtoto Wa huyo jamaa na mtoto wa yule ndugu yangu wanafana na first born wangu ktk kuchunguza sikujua ukweli nikapotezea nikaoa mpka sasa tunawatoto wawili huyu Wa sasa ni mm mwenyewe.
Tatizo limeanza nililonalo ambalo naomba mnishauli ni kuwa miezi miwili iliyopita nilisafiri kikazi wkt nipo mkoani wife alinipigia cm kuwa yule ndugu yangu kuna mzigo anamletea nikamwambia poa sasa nikiwa airport kuna jamaa yangu akanambia kamuona wife yupo maeneo usiku Wa sa5 na jamaa anamjua wife vizuri hawezi kumfananisha sikutaka kumpigia cm nilivyoludi dar nikamuuliza akabisha.
Nilipochukua cm yake nikakuta mwasiliano na yule ndugu yangu ambaye niliambiwa jamaa anamtafuna na hata first born wangu ni wake cm kama 8 za kufatana kumhoji kasema jamaa alipiga iliampe ulemzigo alikuwa anamuelekeza kuna mtu kampa amletee wife machale yakanicheza nikafanya nachokijua nikapata ukweli Wa Yale maongezi kumbe jamaa wanaelekezana na wife waonane wapi.
Then wanapnga jamaa aseme hayupo dar na mbaya jamaa kumbe anaiita mm taahira ananipigia cm ananiuliza akijua Niko wapi wanapanga na wife jinsi ya kunidanganya sababu huyu jamaa anaishi Arusha niliwaita wazazi wangu na wakwake mpka kwenye kikao wife aliapa miungu kuwa hakutoka nilipokuja kuwasikilizisha Yale maongezi wote walikaa kimya mpaka wife akaishiwa LA kuongea.
Mzee nikatoa talaka2 lkn wife na mamaangu ni marafiki kwahiyo mama kamchukua mkwewe anakaa nae mpaka EDA iishe waislamu ukiacha ndani ya miezi 3 unaweza mludia mkeo naombeni ushauli.
Mwakani nampango Wa kwenda kuishi Europe kwa muda sasa nawaza huyu mtu nikimludia nikamuacha home sindio itakuwa nimempa Uhuru Wa kufanya yake bora kila mtu aangalie maisha yake na hata nikiwa Europe niishi bila presha ya mke huku nyumbani tusaidiane mawazo wakuu kichwa kinanivuluga maana cjui nichukue uamuzi gani
Wewe ni Mwanaume au mvulana? Ukijibu nitakushauri nini cha kufanya.Miaka 13 iliyopita nilikuwa na mahusiano na Dada mmoja ambaye Leo hii ndio mke wangu lkn kabla sijamuoa tulipata mtoto mmoja kipindi napanga tufunge ndoa.
Ndugu zangu wakanitonya kuwa huyu wife anatoka na mtoto Wa Shangazi yangu na huyo first born wangu ni mtoto Wa huyo jamaa na mtoto wa yule ndugu yangu wanafana na first born wangu ktk kuchunguza sikujua ukweli nikapotezea nikaoa mpka sasa tunawatoto wawili huyu Wa sasa ni mm mwenyewe.
Tatizo limeanza nililonalo ambalo naomba mnishauli ni kuwa miezi miwili iliyopita nilisafiri kikazi wkt nipo mkoani wife alinipigia cm kuwa yule ndugu yangu kuna mzigo anamletea nikamwambia poa sasa nikiwa airport kuna jamaa yangu akanambia kamuona wife yupo maeneo usiku Wa sa5 na jamaa anamjua wife vizuri hawezi kumfananisha sikutaka kumpigia cm nilivyoludi dar nikamuuliza akabisha.
Nilipochukua cm yake nikakuta mwasiliano na yule ndugu yangu ambaye niliambiwa jamaa anamtafuna na hata first born wangu ni wake cm kama 8 za kufatana kumhoji kasema jamaa alipiga iliampe ulemzigo alikuwa anamuelekeza kuna mtu kampa amletee wife machale yakanicheza nikafanya nachokijua nikapata ukweli Wa Yale maongezi kumbe jamaa wanaelekezana na wife waonane wapi.
Then wanapnga jamaa aseme hayupo dar na mbaya jamaa kumbe anaiita mm taahira ananipigia cm ananiuliza akijua Niko wapi wanapanga na wife jinsi ya kunidanganya sababu huyu jamaa anaishi Arusha niliwaita wazazi wangu na wakwake mpka kwenye kikao wife aliapa miungu kuwa hakutoka nilipokuja kuwasikilizisha Yale maongezi wote walikaa kimya mpaka wife akaishiwa LA kuongea.
Mzee nikatoa talaka2 lkn wife na mamaangu ni marafiki kwahiyo mama kamchukua mkwewe anakaa nae mpaka EDA iishe waislamu ukiacha ndani ya miezi 3 unaweza mludia mkeo naombeni ushauli.
Mwakani nampango Wa kwenda kuishi Europe kwa muda sasa nawaza huyu mtu nikimludia nikamuacha home sindio itakuwa nimempa Uhuru Wa kufanya yake bora kila mtu aangalie maisha yake na hata nikiwa Europe niishi bila presha ya mke huku nyumbani tusaidiane mawazo wakuu kichwa kinanivuluga maana cjui nichukue uamuzi gani
Huyu jamaa inawezekana mama yake anafahamu kinachoendelea na amekipa baraka na inawezekana hao watoto wote si wake ni wa huyo ndugu yake inawezekana jamaa hawezi tia mimba ndio mama yake akajiongeza. Maana haiingii akilini kabisa utoe talaka kwa sababu ya uzinzi mama yako amchukue wife akakae nae!!??Ulifanya mistake na sasahiv unaendelea kufanya mistake,piga chini mkuu chukua maamuzi magumu,usiangalie uhusiano uliopo kati ya wife na mother coz wote ni wanawake,pia usiangalie umegharamia kiasi gani,ukishindwa kupiga chin Basi kubali kugongewa na huyo ndugu yako
Wewe unaonekana mstahimilivu sanaa hao wa Dudu hawajifunzi kabisa wala usipoteze mda eti atajirekebisha kabisa zawadi nzuri tafuta mkaa gunia mbili tu .

Hujatendwa wewe na hata kama bado hujanifunza!Miaka 13 iliyopita nilikuwa na mahusiano na Dada mmoja ambaye Leo hii ndio mke wangu lkn kabla sijamuoa tulipata mtoto mmoja kipindi napanga tufunge ndoa.