majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 453
- 628
Kupitia Channel 10, wameripoti kwamba Kampuni moja nchini Saudi Arabia, inatoa ajira za Udereva kwa wale watakaohitimu na kupasi mitihani yao jijini Dar Es Salaam...
Zoezi hili linaendeshwa na Bw. Abbas Mtemvu, ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya ajira, BRAVO AGENCY, pamoja na Mkurugenzi wao wa ajira, Lufingo Mwambungu, wanadai kampuni yake imesajiliwa na inajulikana na Wizara ya Kazi...
Haya vijana tuchangamke bila woga kwamba tunaenda kuwa watumwa au kutolewa marinda!
Kila la kheri...
CHANZO : Channel 10 leo 17/01/2018