Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi , utazeeka unamsubiri
Lakini pia kumbuka binti mzuri ni miaka 22,23,24,25.
Kwa mliofika chuo kikuu basi...