DR Congo opposition leader, Etienne Tshisekedi dies aged 84

DR Congo opposition leader, Etienne Tshisekedi dies aged 84

Rest in peace kamanda umepigana vita vya kupigania demokrasia muda mrefu.
 
Acha mawazo ya kipumbavu wewe
Mh Etien Tshisekedi
Alikuwa mgonjwa muda mrefu
Pia kumbuka alikuwa na umri wa miaka 84
Ha ha ha mbona povu limekutoka bure
Ulikuwa na ulazima gani wa kutumia neno mpumbavu?
Si ungesema tu kama lilikuwa jambo la kawaida?
Aisee! Nashukuru ndugu mwerevu uwe na siku njema.
 
Back
Top Bottom