Recent content by kim joung

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vacancies at HAPESO

    Half price education solution (hapeso) ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 2015 katika jiji la dar es laam likiwa na ofisi zake kariakooo na magomeni mapipa . kampuni inajihusisha na uchapaji wa machapisho mbalimbali, utungaji na uchapaji wa vitabu vikiwemo vya shule ya msingi na secondary na pia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna njia nyingine ya kutumia maabara kufanya stool test zaidi ya hii ya kupima kinyesi?

    katika kupima unachukua kidogo sana just a sample c kama aliye collect
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna njia nyingine ya kutumia maabara kufanya stool test zaidi ya hii ya kupima kinyesi?

    inaitwa stool analysis pale tunaangalia mayai ya parasite wanao weza kupatikana katika mfumo wa wa chakula kama kwenye utumbo mdogo au mkubwa kwa mfano mayai ya minyoo mbalimbali na pia kuna bacteria ambao wanapatikana kwenye huu mfumo kwa hivyo njia ya kuwagundua lazma tu utumie choo aka mavi ,
  4. K

    JamiiForums Tanzania NACTE : Udahili na uchaguzi 2017/18 wa Astashahada na Stashahada utafanyika moja kwa moja vyuoni

    hii itakua mbaya sana itabase kwa kujuana, gharama kuongezeka. kukosa kuvijua baadhi ya vyuo . ingebaki tu cas kwan inarahisisha mambo kwa system hii utakuja kujikuta uliye na pointi kubwa unaachwa katika chuo x lakini mwenye point ndogo anapata nafasi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa stashahada ya uuguzi

    acheni kuwaze uzinzi na wakati wengine tunawaza kujiajiri na kutafta pesa , wake wa kuoa wapo2 hata sio wakutafta mtandaoni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa stashahada ya uuguzi

    sio kwamba hawawez , katika mradhi naoutaka na watu wa eneo hilo mtu ambae sio wa hapo au hawezi kutamka japo maneno ya kiruga hawata enda kwake
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa stashahada ya uuguzi

    hata usiwe na wasisi ningewataka hata isingechukua dakika kwan nawafaham physically pia wengine wamenifundisha tena vizuri katika rotation zang
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa stashahada ya uuguzi

    sisi wakati tunawaza maisha nyie mnawaza uzinzi na kuoa acheni mambo ya kizamani kwa mfano mtu anataka wadada wa saloon wa massage utasema anataka mme, huu ni wakati wa kubadlika badilikeni
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa stashahada ya uuguzi

    Natafuta mtu wa kufanya naye kazi katika mkoa wa Mara, mwenye taaluma ya stashahada ya uuguzi awe bado hajaajiriwa malazi na chakula ni juu yangu, Ila awe na mindset ya kufanyakazi kwa kujisimamia , awe anatoka wilaya ya Tarime au wilaya za karibu na Tarime pia awe binti, kwa mawasiliano...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

    jaman kama wewe ni mtoto wa maskini ni vigumu kutunza pesa ya mkopo na uje kuitumia kama mtaji chukulia unatoka tabora upo udsm unaishi hostel kwa siku asubuhi chai ya 500 mchana wali maharage 1000 na usiku wali maharage 1000 utahitaji uingie mtandaoni kutafta reference vocha 500 maji kwa siku...
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magufuli fires nearly 10,000 civil servants

    jaman nilisikia kenyatta aliagiza kila mwanafunzi wa shule ya msingi na awali apewe computer je alitekeleza?
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magufuli fires nearly 10,000 civil servants

    kenyans u are not investigating about many thing which mugu have proved failure u cannot compare him with kenyatta , kenyatta is the best
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    kama kichwa cha habari kinavyosema ninataka kusaidiwa juu ya ufugaji huu kwenye haya mambo 1; hali ya hewa inayowafaa hawa samaki hususani sangara 2; kina cha maji kwenye bwawa 3; upatikanaji wa chakula pia chakula gan kinawafaa 4; wanahitaji madawa pia wanaweza kushambuliwa na wanyama wengine...
Back
Top Bottom