Half price education solution (hapeso) ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 2015 katika jiji la dar es laam likiwa na ofisi zake kariakooo na magomeni mapipa .
kampuni inajihusisha na uchapaji wa machapisho mbalimbali, utungaji na uchapaji wa vitabu vikiwemo vya shule ya msingi na secondary na pia utungaji wa kazi za sanaaa na ushauri wa kazi hizo , kwa sasa inao mawakala katika miji ya mwanza, mbeya, arusha , tanga na dodoma kwa sababu ya upanuzi na ukuaji wa kampuni , kampuni inahitaji wafanyakazi katika nafasi zifatazo
1) Manager wa matawi nafasi 2
2) Afsa masoko nafasi 5
3)Cashier 2
Waombaji wote wawe na cheti cha computer au uelewa wa kutumia computer hasa microsoft word excel,power point na photograph design na kama hujui uwe tayari kujifunza ukiwa kazini pia vyeti vya taaluma ya chuo kinachotambulika na nacte vyeti vya kidato cha nne baada ya kuajiriwa vitahitajika kwa zoezi la uhakiki.
Maombi yawasilishwe ofsini magomeni mapipa au kariakooo au kupitia nashonelia1@gmail.com
kwa mawasiliano zaidi piga 0753608325 au 067327341