Nafasi za kazi kwa stashahada ya uuguzi

kim joung

Member
Apr 21, 2017
16
17
Natafuta mtu wa kufanya naye kazi katika mkoa wa Mara, mwenye taaluma ya stashahada ya uuguzi awe bado hajaajiriwa malazi na chakula ni juu yangu,

Ila awe na mindset ya kufanyakazi kwa kujisimamia , awe anatoka wilaya ya Tarime au wilaya za karibu na Tarime pia awe binti, kwa mawasiliano 0755533903 au makorere1000@gmail.com
 
Unataka Binti ueke Ndani That is Why Umebagua Mikoa Ya Kutoka Huyo Mfanyakazi Kama Kwamba Mikoa Mengine Hawawezi Tanya Kazi
 
Ngoja niwapigie wale 134 wa Muhimbili, nadhani utabahatika kupata hata
mmoja wao, ikizingatiwa bosi wao alisema walikuwa majembe ya kazi kweli kweli.
 
Naona unataka mke indirectly Goodluck Though!
sisi wakati tunawaza maisha nyie mnawaza uzinzi na kuoa acheni mambo ya kizamani kwa mfano mtu anataka wadada wa saloon wa massage utasema anataka mme, huu ni wakati wa kubadlika badilikeni
 
Ngoja niwapigie wale 134 wa Muhimbili, nadhani utabahatika kupata hata
mmoja wao, ikizingatiwa bosi wao alisema walikuwa majembe ya kazi kweli kweli.
hata usiwe na wasisi ningewataka hata isingechukua dakika kwan nawafaham physically pia wengine wamenifundisha tena vizuri katika rotation zang
 
Unataka Binti ueke Ndani That is Why Umebagua Mikoa Ya Kutoka Huyo Mfanyakazi Kama Kwamba Mikoa Mengine Hawawezi Tanya Kazi
sio kwamba hawawez , katika mradhi naoutaka na watu wa eneo hilo mtu ambae sio wa hapo au hawezi kutamka japo maneno ya kiruga hawata enda kwake
 
Kwanini uwaze uzinzi tu?
Huenda anataka kumpa kazi ya kuuza duka la dawa au ndio nafasi ya ke ndiyo iliyopo kwa zahanati yake. Mbona umejaa uzinzi mkuu!
acheni kuwaze uzinzi na wakati wengine tunawaza kujiajiri na kutafta pesa , wake wa kuoa wapo2 hata sio wakutafta mtandaoni
 
Natafuta mtu wa kufanya naye kazi katika mkoa wa Mara, mwenye taaluma ya stashahada ya uuguzi awe bado hajaajiriwa malazi na chakula ni juu yangu,

Ila awe na mindset ya kufanyakazi kwa kujisimamia , awe anatoka wilaya ya Tarime au wilaya za karibu na Tarime pia awe binti, kwa mawasiliano 0755533903 au makorere1000@gmail.com
Dr. James utapata tu maana wapo wengi ambao hawaajiliwa
 
Back
Top Bottom