Recent content by kim jong ii

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

    Nonsense bora ukae Kimya.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kitakachomuokoa Mwamunyange ni Hussein Mwinyi

    Wewe Jerusalemhuna busara hata kidogo na sina uhakika kama umeenda shule.
  3. K

    JamiiForums Tanzania MNYIKA na UMAARUFU wa KULAZIMISHA

    Kampeni yangu kufunga 2010...Zitto Zubeir Kabwe awe Mwenyekiti wa CHADEMA!!!!!!!!!!!! I liked that
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lagoma kuzika

    Source ni habari leo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lagoma kuzika

    KANISA Katoliki Parokia ya Familia Takatifu Jimbo la Sumbawanga, limegoma kuendesha ibada ya maziko kwa marehemu wawili wakidai ibada haitaendelea mpaka pale waumini ambao ni wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotengwa na kanisa hilo, watakapoondoka ndani ya kanisa hilo. Marehemu hao ni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kwa nini Zitto Kabwe na Freeman Mbowe hawakukampeni Mikoa Lindi, Mtwara, Songea?

    Hii post inatakiwa kuhamia huko kwenye udaku na mipasho. Hapa hatujadili fitna na majungu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, Kikwete ni mdini?

    This post from Sokomoko is one of the post that need to be discussed and im very happy for bringing this matter here coz majority of us here in JF tunaeneza propaganda za ajabuajabu kuhusu Kikwete na Uislam. Big up sokomoko
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    (Nukuu) Ni vyema viongozi wa Chadema wakaliona hilo na kutokubali kuwa washawishi wa uhasama na kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi waliowachagua, wakitazamia maendeleo, kwa imani kubwa waliyonayo kwa viongozi wao. Kitendo cha kukataa misaada kwa ubinafsi wa kupata umaarufu wa kisiasa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    TANGU umalizike Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, tumeona vituko vingi vikifanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambacho kwa sasa ni cha pili kwa ukubwa baada ya CCM. Miongoni mwa vituko hivyo ni wabunge wa chama hicho kutoshiriki sherehe za kumwapisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

    Hizo ni chuki binafsi + wivu, Haya yote mnayojitahidi kuutangazia umma huu wa JF ni zile siasa za chuki na ambazo zimepitwa na wakati. Kama Zitto amekuzidi kwa kila kitu hutakiwi kumchafua hivyo ila kupambana na wewe uwe kama yeye. Samahani kama nimewakosea
  11. K

    JamiiForums Tanzania Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

    Hizo ni chuki binafsi + wivu, Haya yote mnayojitahidi kuutangazia umma huu wa JF ni zile siasa za chuki na ambazo zimepitwa na wakati. Kama Zitto amekuzidi kwa kila kitu hutakiwi kumchafua hivyo ila kupambana na wewe uwe kama yeye. Samahani kama nimewakosea
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 Chadema: We recognise the president

    Mimi binafsi viongozi wa CDM wamenichanganya na kunionyesha wana njaa kiasi gani. Mara wanatoa kauli hii halaf wanageuka. Unajua mi wameshaanza kuniboa coz HAWANA MSIMAMO. Kumbe JK alisema kweli kwamba hao wanacheza at the end of the day watarudi kwake kwenda kuomba.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopendekezwa Viti Maalum na hoja za Leticia Musore

    kama Uongozi wa CDM Taifa ulivyojaza wenzi wao.
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 Chadema: We recognise the president

    Says walkout misinterpreted CHADEMA national chairman and official leader of Opposition in the parliament, Freeman Mbowe Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president and blamed the public for misinterpreting its MPs walkout when the head of state was about to address...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Na Ubaguzi wa kimaeneo na udini tu ndo unaendelea sasa
Back
Top Bottom