Elections 2010 Kwa nini Zitto Kabwe na Freeman Mbowe hawakukampeni Mikoa Lindi, Mtwara, Songea?

Status
Not open for further replies.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,173
Slaa alikuwa anapata taabu kweli.

Zitto hakuwa na wakumzuia kushinda jimboni kwake, kwa nini hakumsaidia Slaa kupiga kampeni mikoa ambako Chadema kilikuwa na ushawishi mdogo.

Yeye (Zitto) si anajisifu kuwa ni maarufu? Kwa nini asingetumia huo umaarufu kuwaomba kura wananchi wa mikoa ya Kusini?

nauliza swali?
 
kule ni ngome ya cuf. halaf kwani zitto jameni ni bulldozer? mbna mnataka kumuonea kijana wa watu? kwa nini usimtaje mwenyekiti Mbowe? Hata zitto kule kwake alikuwa amebanwa na cuf, hivyo alikuwa na kazi kubwa ya kuzima moto nyumbani kwake kabla ya kukimbilia kwa jirani kuzima moto. Huwezi kuacha nyumba yako ikaungua ukaenda kuzima nyumba ya jirani yako, lazima kwanza uanzie kwako...Try to be FAIR kwenye mambo haya siyo kila kitu kumshutumu Zitto. Kwa sasa tujadili ni namna gani tujipange ili tuweze kuziteka ngome zote za CCM pamoja na zile za CUf na nccr maana wote wmaeamua kuwa kitu kimoja,.i.e ccm+nccr+cuf=1
 
cblogocolor_u313.jpg

CRAAAAAPU.
 
Slaa alikuwa anapata taabu kweli.

Zitto hakuwa na wakumzuia kushinda jimboni kwake, kwa nini hakumsaidia Slaa kupiga kampeni mikoa ambako Chadema kilikuwa na ushawishi mdogo.

Yeye (Zitto) si anajisifu kuwa ni maarufu? Kwa nini asingetumia huo umaarufu kuwaomba kura wananchi wa mikoa ya Kusini?

umetumwa si bure kwanini usiwafikirie wale wa viti maalumu tuondokee na uchochezi wako hapa mbeya mkubwa
kwani yeye angeenda ndo slaa angeshinda
kwanza mwenyekiti ,mgombea mwenza mwasisi mtei walikuwa wapi?
na wewe kama mfurukutwa ulikuwa wapi
 
Hapa hakuna kitu ndahani huyu kijana sasa mwacheni ameshasikia lakini hayo ya kwenda mtwara etc kwa nini yeye tu na wengine? Pretty poor argument
 
Zitto hakuwa na wakumzuia kushinda jimboni kwake, kwa nini hakumsaidia Slaa kupiga kampeni mikoa ambako Chadema kilikuwa na ushawishi mdogo.

Yeye (Zitto) si anajisifu kuwa ni maarufu? Kwa nini asingetumia huo umaarufu kuwaomba kura wananchi wa mikoa ya Kusini?

MY RESPONSE

Tulishasema TOPIC ZA ZITTO ZINATOSHA SASA; mwacheni awatumikie wananchi waliomchagua!!
Ila kwa maswali yako nadhani utajijibu mwenyewe kwa maswali yafuatayo:

  1. Kwamba Zitto hakuwa na wakumzuia kushinda jimboni kwake...fuatilia matokeo kule, angalia ZK alipata asilimia ngapi na kulikuwa na wagombea wangapi!! Kama hakuwa na wa kumzuia ina maana alipita bila kupingwa? Wachakachuaji hawakuweka mgombea? USIKURUPUKE NA VIJISWALI TU
  2. Kwamba Zitto anajisifu kuwa ni maarufu...Kwani wewe tafsiri yako ya mtu maarufu ni nini? Kwa ZK kuingia Bungeni akiwa na umri mdogo na kuweza kuleta hoja kali zilizoweza kuitikisa serikali bado huoni kwamba ni mtu maarufu? Bado huutambui umaarufu wake kama "celebrity" kwenye anga za siasa? Hutambui kuwa ni mwanaharakati wa demokrasia hapa Tanzania? HEBU ACHA KUMSAKAMA ZK
 
Zitto hakuwa na wakumzuia kushinda jimboni kwake, kwa nini hakumsaidia Slaa kupiga kampeni mikoa ambako Chadema kilikuwa na ushawishi mdogo.

Matokeo ya jimbo la Zitto mbona yanapingana na maelezo yako hapo juu? Ningependa kujua ni kwanini unamchagulia mikoa ya Mtwara, Lindi na Songea?
 
Wagombea wote wa viti vya ubunge walikuwa na kazi ngumu majimboni mwao. Kama wangepoteza muda mwingi nje ya majimbo yao huenda wasingepita maana CCM nayo ilikuwa imedhamiria kuyaondoa majimbo hayo toka mikononi mwa upinzani.

Hatuna dhamira ya kumhukumu Zito au mtu mwingine yeyote pale pasipostahili. Tunampenda sana Zito kwa hoja zake na mchango wake kwa Taifa hili alioweza kuutoa. Tunachohitaji toka kwake ni kutuhakikishia kwa dhati kabisa kuwa tupo pamoja na pale alipopotoka haikuwa kwa dhamira mbaya.
 
jamani kabla ya kutoa hoja tuwe tunajiuliza mara mbilimbili. Ki ukweli huizi threads zingine ninashusha hadhi ya JF.
halafu huyu jamaa (Jerusalem) hoja zake nyingi tu huwa zina utata.
 
kule ni ngome ya cuf. halaf kwani zitto jameni ni bulldozer? mbna mnataka kumuonea kijana wa watu? kwa nini usimtaje mwenyekiti Mbowe? Hata zitto kule kwake alikuwa amebanwa na cuf, hivyo alikuwa na kazi kubwa ya kuzima moto nyumbani kwake kabla ya kukimbilia kwa jirani kuzima moto. Huwezi kuacha nyumba yako ikaungua ukaenda kuzima nyumba ya jirani yako, lazima kwanza uanzie kwako...Try to be FAIR kwenye mambo haya siyo kila kitu kumshutumu Zitto. Kwa sasa tujadili ni namna gani tujipange ili tuweze kuziteka ngome zote za CCM pamoja na zile za CUf na nccr maana wote wmaeamua kuwa kitu kimoja,.i.e ccm+nccr+cuf=1
majibu yako yamemtosheleza kabisa huyo mtoa mada,wao waseme kama wana ajenda yasiri na zito sio kumnanga nakumsingizia nakumchafua kilawakati haifai kabisa, tubadilike
 
Moderator nimewashuri wekeni buton ya crap na mchangamuo wake uonekane kwenye profile ya mtu kama ilivyo thanks. mtasangaa itavyopunguza post zisizo na kichwa wala miguu

crapped xxx times in yy post

Teh teh the
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom