Recent content by KIM JOHN UN

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma Kati ya SUA na Ardhi, kozi gani inanifaa?

    huna qualifications za kuja chuo. please jiajiri
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

    mbona yupo Meja General CPA Edward Mathew Mkengule? mama mteue Mkengule ambae kwa sasa ni Mnadhimu jeshini aje akusaidie kazi huku
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kwanini Rais Samia hajawahi kumjulia hali Mzee Lowassa?

    Amjulie hali kwani anaumwa?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    apumzike Jenerali Mabeyo wetu. sasa ni Zamu ya Mathew Edward Mkengule kuwa CDF wetu mpya
  5. K

    JamiiForums Tanzania Alama kubwa zilizoachwa na Marais wa Tanzania katika vipindi vyao

    kuwaambia wamachinga wauzie vitu vyao kwenye njia za wapita kwa miguu. shenzi zake kabisa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yona atoswe baharini ili merikebu isizame

    YONA alishagupwa baharini lakini mbona bado yalo vile vileeeeeee
  7. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Edward Hosea rais TLS, awabwaga wakili Mtobesya na Harod Sungusia kwa kishindo

    hata kama wangeungana bado wasingemueza Prof Hosea angalia 380 +145=525 vs Kura 621
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

    Yani Lumumba ni matakataka kama taka taka nyingine.Hawajui ata criteria za tuzo za mo ibu ata za Nobel price.Yani ndio maana Magu alikuwa anawapiga za kwenye mapumbu mnabaki mnalalama kama mbwa aliekojolewa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo(Mafao): Rais Samia anastahili pongezi kwa hili

    duu.kiama kwao retirees
  10. K

    JamiiForums Tanzania CUF yapendekeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    naunga mkojo hoja
  11. K

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda afika kwenye ubalozi wa falme za kiarabu

    kama hujaoga usije mjini
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Heche: Wakili Harold Sungusia ni Afisa Kipenyo anayetumika kuivuruga TLS

    halafu huyu Harold anatumia surname ya Majina ya wajomba zake ambao ni akina SUNGUSIA.Real name ni HAROLD MCHAU mwambieni aache undezi huyu boya urais wa TLS hapati labda akawe rais wa WAMCHAU huko kwao old moshi tella
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kujifungua kwa upasuaji linaenda kuwa janga la Taifa

    Mtu na nusu?dah huyu jamaa bana
Back
Top Bottom