Achana na mtoto wa watu Usije mpeleka chaka, Yeye mwenyewe kashakuona kichwa hamna, So fata biashara yako
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Duh! Kuja NECTA ifike mimba itakuwa kubwa na sidhan kama ataruhusiwa kufanya mtihan. Hapo labda mfake ugonjwa ili aje afanye mtihani mwakani. Coz anaweza kuendelea na shule then kufika Siku ya mtihan wanamkacha na ikawa kazi bure, au kama kuna mwalimu mlienae karibu mnaweza kwenda kuongea nae...
Apps nyingi zinatumia background data, japo sio sana unaweza set data isitumike mpaka pale utakapo ruhusu mwenyew kwenye app husika. Pia watu wengi hawajui maeneo mengi ya simu zao yaani mtu anaogopa anaweza bonyeza sehem akaharibu , so unakuta wanaishia maeneo muhimu tu ya kawaida.
Muda wa kazi unapoisha rudi nyumban, kama kuna ratiba zingine zitakazo kuchelewesha toa taarifa mapema kuondoa tafrani ndani ya nyumba na maswali yasiyo na msingi. Pia ni muhimu sana kushiriki chakula cha usiku na mkeo au wanao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.