Recent content by kilukunyenge

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kutoka kwenu waliopitia haya

    asitoe hiyo mimba anaweza kutoa na kizazi na mwishoe asizae kabisa cha msingi kama kuna uwezo kano muowe tu huyo
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

    namaanisha tupo kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu sasa
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

    nimekosea kidogo kuandika mkuu nilimaanisha unanishauri nini mkuu nimpige chini au vp
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

    sasa mkuu unanidhauri vipi ni muawahi nimpige chini au atabadili moyo wake
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

    kivipi mkuu
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

    umeelewa nini mkuu
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

    nimeshamuuliza sana anasema hakuna sababu anajikuta tu na hasira wakati mwingine tu anatamani kuniacha basi tu anashindwa kusema
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

    kwanini unasema hivyo
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

    Habari zenu Mimi ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu tumekuwa pamoja kwa miaka mitatu ila yupo mbali na mimi. Ananiambia kuwa ameshawaza mara nyingi tu kuniacha ili abaki mwenyewe ila anashindwa kwa sababu ananipenda kuna wakati anapiga simu akiwa na dhumuni hilo ila anashindwa sasa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jamanii uti sugu inanitesaa

    dr. mzizi mkavu naomba nisaidie namba yako ya simu ya kaxini ili tuongee
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jamanii uti sugu inanitesaa

    mkuu hapo azthronizine vidonge vinne havitaniuwa nikimeza zote mara moja
  12. K

    JamiiForums Tanzania natafuta garage ya magari ili nijifunze ufundi

    habari wanajamii mi ni kijana wa kiume natafuta garage ya kutengeneza magari ili nijifunze nataka garage ambayo inatengeneza magari ya aina zote yaani ya diesel na petrol garage iwe arusha anaejua anisaidie tafadhali
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo; Nawaza kuachana na comb hii ya HGL niende garage

    nikitaka nipangiwe CBG au PCB mkuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo; Nawaza kuachana na comb hii ya HGL niende garage

    Mimi ni mwanafunzi wa advance form 5, O-level nilisoma sayansi ila kwa sababu nilifeli mathematics nikapangiwa comb ya arts ambayo ni HGL. Kiukweli sipendi arts na shule wamegoma kunibadilishia comb kwa sababu nilifeli math sasa nipo likizo na kiukweli mpaka leo bado sina malengi ya hii comb...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Comb ya HGL unaweza kusoma kozi gani degree?

    Habari, naomba kujua mtu anayesoma comb ya HGL anaweza akasoma kozi gani degree na ipi ni nzuri zaidi kwa utafutaji wa ajira?
Back
Top Bottom