natafuta garage ya magari ili nijifunze ufundi

kilukunyenge

Member
Dec 21, 2016
20
16
habari wanajamii mi ni kijana wa kiume natafuta garage ya kutengeneza magari ili nijifunze nataka garage ambayo inatengeneza magari ya aina zote yaani ya diesel na petrol garage iwe arusha anaejua anisaidie tafadhali
 
Nenda temesa yoyote ukamuombe manager huwa wanakubali lakini utaanza kama nyoka....kujituma kwako na uelewa wako ndio kutakufikisha mbali
 
Back
Top Bottom