kilukunyenge
Member
- Dec 21, 2016
- 20
- 16
habari wana jamiiforum
mimi ni kijana wa miak 22 ninasumbuliwa na uti sugu mwaka wa 3 sasa nimeshatumia anti biotics nyingi lakini sijapona
Tatizo limesambaa sasa nasikia maumivu makali ya uti wa mgongo na wakati mwingine inapelekea maumivu makali ya shingo na mpaka kichwani nahisi kama akili inataka kuchanganyikiwa hivi na joints zote zinauma napoteza sana kumbukumbu
Nimetumia cipro zimedunda niliambiwa nitumie azromycin dozi ya siku tano nayo imedunda nimechomwa sindano ya panadulu nayo imedunda ila nateseka sana ute ute mweupe unatoka kwenye uume wangu hospital niliambiwa nina UTI
Naomba msaada nimezidiwa na ugonjwa naona utanifanya niwe chizi unaendelea nisaidieni jamani