Recent content by Kilosaone

  1. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na Kahama , Ni maeneo gani kwa kasi ya ukuaji wake unaona yanaenda kuwa mikoa miaka ijayo ?

    Katoro, Geita japo wanajenga kiholela ila inakua haraka sana
  2. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Kati ya Suzuki carry na Guta kipi bora?

    Sasa hivi mchina katoa guta la matairi manne ila injini ya pikipiki ni mazuri hata matopeni unapita. Ni Bora kua na Hilo kuliko kirikuu kaka, amka kumepambazuka.
  3. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kariakoo yapo usiku wa manane tu, mchana hutayaona utadalaliwa tu

    Aisee nitajitahidi nAmi nije ucku hapo Kariakoo.
  4. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Miji Mingi Inacheleweshwa Maendeleo Na "Assets/Mali Za CCM"

    Hiyo ni kweli kabisa
  5. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Itule Co. Limited inayomiliki mabasi ya Geita express inatoza nauli kubwa kwa abiria wanaokata tiketi online

    Mi nasoma tu ila Geita Express wajirekebishe kwa hili Wana huduma nzuri tu. Pia makampuni mengine kama ally's, abood karibuni geita
  6. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ndo nn kukatisha utamu?
  7. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

    Hiyo co Paso ni subaru
  8. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

    Hii Subaru yenye cc 650 vp wadau? wataalam naomba muichambue.
  9. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya jina Omary na umahiri katika kazi ya Ualimu

    Yap, Kilosa alikuwepo Omari Jaka ni bingwa wa kufundisha hisabati
  10. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

    Hiyo Paso ni gari ya pistoni ngapi?
  11. Kilosaone

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono ukabila + 'undugunization' maofisini 100%

    Co hivyo kuna moja yy anawapendelea wa2 wa dhehebu lake tu. Madhehebu mengine anatuona mavi tu.
Back
Top Bottom