Naunga mkono ukabila + 'undugunization' maofisini 100%

Naunga mkono ukabila + 'undugunization' maofisini 100%

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,063
Sisemi kama ndugu au kabila hawadisapoint, pana tena sanaa.

Ila amini nakwambia, mtu kama sio ndugu yako au kabila lako au rafiki yako. Kwenye biashara hizi, makampuni binafsi ni ngumu sana kukufkiria mara mbili.

Ni rahisi sanaa kwa mtu ambaye ni ndugu yako. Kabila moja au dini moja kuku consider angalau takuibia sawa ila hatokufanya mbaya kama mtu baki kabisa.

Kwenye hizi biashara/kampuni binafsi changamoto kubwa ni wiz na ku-deliver.

Amini nakwambia, ni rahis snaa kwa mtu bak kutokukujali.

Pia nasemaje, Watanzania tuna tatzo kitu kama sio chako mtu hawez jitoa hata sku1. Yeye anachoangalia ni jinsi gani atabuni mazingira ya kukupiga, au labda nina roho nzuri sanaa hawa wafanyakazi wangu wana take advantage.

Nina plan ya kuweka ndugu zangu tupu kwenye miradi yangu na manager m1 ambaye atakua mwiba kwao.

Sasa nmeamin ya waswahili hawawapendi Wahind na Wahind hawatak ujinga na Waswahili. Sitolaumu tenaaaa

Uzi tayari
 
Uko sahihi kwa mustakabali wa Tz tu, ambako sheria na mkataba haipewi umuhimu.

Unapoomba kazi na kupata, ni mkataba, biashara kati ya taasisi mbalimbali ni mkataba, iweje ufanye uchaguzi wa nani wa kumhudumia vizuri na vibaya? Au kutolinda na kutumia mali za kampuni vibaya?

Nchi zilizoendelea, ni elimu yako, weledi wako wa biashara ndio utakaokuwezesha kufanikiwa. Ubaguzi, upendeleo na ufisadi utakaooonesha kwa yeyote, unapelekea kutimuliwa, kushitakiwa, na mahusiano ya kibiashara kusitishwa.
 
Mkuu kujuana na ukabila haiwezi kuwa suluhu ya changamoto zinazotukumba.
 
Kuna kitu hukijui! Unapobana kundi/makundi fulani indirectly umeruhusu kundi fulani lineemeke.

Wewe kuibiwa kuko palepale isipokuwa, umezuia kuibiwa na watu wa nje na sasa unakwenda kuibiwa na watu wa ndani(ndugu zako)
 
Kumbuka ukiweka ndugu yako akifanya ujinga huwezi kumfanya kitu ila mtu baki akifanya ujinga unamfunga bila huruma
 
Acha mikwara wewe.......wenye miradi hawana muda wa kuandika pumba zako hizi.
 
Co hivyo kuna moja yy anawapendelea wa2 wa dhehebu lake tu. Madhehebu mengine anatuona mavi tu.
 
ebu taja kwanza hio miradi yako unayo ipigia kelele hapa.
Ukute una mradi wa kukusanya makopo
 
ebu taja kwanza hio miradi yako unayo ipigia kelele hapa.
Ukute una mradi wa kukusanya makopo
Kwan kuokota makopo sio mradi mkuu...vijana wenye wivu mnatabu sana...usipowajibika sasa watoto wako ndio watapata shida nawew pia uzeen.
 
Acha mikwara wewe.......wenye miradi hawana muda wa kuandika pumba zako hizi.
Hahaha.dah...wakat wew ukifanya masihara na muda na umri wako.wenzio ndo tunasonga hvyo..utakuja shtukia heee 35 hyooo..mara 40 hyo.umekaa tuu unaonea wivu wenzio...kwan mradi manake nin ndugu yangu tuanzie hapo..maana uskute huelew kitu...ila zingatia sentesi za kwanza za comment hii
 
kwa Africa inawezekana sababu asilimia 78 ni wabinafsi na wajinga... ukabila udini vyote ni ubaguzi na ndo chanzo cha umasikini usiokwisha...
Alafu utakuta mtu anasema blaki livis mata!....
Black Lives Matter kwa Africa ni movement ya ajabu,
Africa inabdi tuwe na Wapinzani Lives Matter.
 
Kwan kuokota makopo sio mradi mkuu...vijana wenye wivu mnatabu sana...usipowajibika sasa watoto wako ndio watapata shida nawew pia uzeen.

Mkuu mm nimetoa maoni yangu tu ko usinichukie bure.Very sorry
 
Hahaha.dah...wakat wew ukifanya masihara na muda na umri wako.wenzio ndo tunasonga hvyo..utakuja shtukia heee 35 hyooo..mara 40 hyo.umekaa tuu unaonea wivu wenzio...kwan mradi manake nin ndugu yangu tuanzie hapo..maana uskute huelew kitu...ila zingatia sentesi za kwanza za comment hii
Hahaha miaka imeingiaje hapa mkuu ??? unjaua nina miaka mingap mkuu??? nikuonee wivu nakujuaaa....kupata Laki moja yako hakunizuii mimi kupata efu kumi yangu and vice versa so siwez kukuonea wivu.....

Ila acha mikwara mkuu roho yngu imegoma kuamin kwmba una hiyo miradi uliyojinasibu nayo.
 
Back
Top Bottom