Kati ya Suzuki carry na Guta kipi bora?

Kati ya Suzuki carry na Guta kipi bora?

Sasa hivi mchina katoa guta la matairi manne ila injini ya pikipiki ni mazuri hata matopeni unapita. Ni Bora kua na Hilo kuliko kirikuu kaka, amka kumepambazuka.
 
Ni cc ngapi?
 
Back
Top Bottom