FF ni mabaki yale ya 1990s ya kutaka kusilimisha Africa baada ya kushindwa "HASIRA KAMA MTOTO MWENYE UTAPIAMLO" kila siku uislam , ukristo. uislam, ukristo, uislam ukristo these parots"!!!!
What did you expect?
For Government whose president does not command respect and authority! Dreams of old good days where a regional meeting was postponed due to absence of the Nyerere are gone!
The old good days where hundreds of regional leaders would scramble for the wise advises from...
Moderator tuondolee vilaza kwenye jamvi letu. Kama huyu anapersonalise matumizi ya fedha za walipa kodi. Hizo hela ni zako na ndugu zako. Je ndivyo ulivyotaka zitumike!? Can you really justify this nonsense by such a weak argument?!!
Siamini hili ila ninaogopa kwa huyu Kiongozi BULICHEKA tuliyenaye anaweza kuanza (kigugumizi cha kutokumaster lugha) teh teh teh we (kigugumizi) will support USA teh teh yes teh teh teh yes. Ndugu zangu tukifikisha 2015 salama na kuongozwa na huyu tutoe sadaka ya kushukuru nchi nzima!!!
Wife ni wife tu hata mtofautiane atakusifu. Ona haya maneno "sheria itarekebishwa" utetezi baada kutoka bed yaani! sheria iliyosainiwa itarekebishwa lini? Sheria kandamizi, sheria ya kijinga Ok hata wife anatakiwa asione uozo wa Mumewe! hongera CUF kwa kuwa Mke mwema. Jengeni dola ya kitandani.
Nimeipenda hii/ WaTZ wote wanatakiwa wawe macho kuona chui walio katika mavazi ya kondoo wakitafuta urais. Utakumbuka JK 2005 alikuwa mkali na tukampenda kuhusu ufisadi na kuahidi kuushughulikia kikamilifu! Lakini alipopata tu urais alitumia neno "tutawashauri" mafisadi waache.
Aliongea akisema...
Hata ulivyopost inaonyesha unafiki na prejudice ya hali ya juu! on "NYERERE 'HAKUWA NA MAPUNGUFU' LAKINI ALIKUWA KIONGOZI MBOVU" Unakubaliana na lipi kati hizi contadicting statements?! mnafiki mkubwa. UDINI unauleta wewe kwa ujinga wa kujemga hoja! Unaposema waislamu hawakuwa/hawana na chuki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.