The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,385
- 12,969
Yaani kumbe watu wameanza kusherehekea tangu July???
Hivi walikuwa wanaona 09/12 ni mbali au??
Hivi walikuwa wanaona 09/12 ni mbali au??
Next prezdaa mnataka yupi?
the choice is urs!
umeshwahi kufika rombo? ukalinganisha hata na kisarawe wewe??Mi mara nyingi huwa nawashangaa mnaojiita Great thinker,kwani kuna tofauti gani mchaga kutumia milion kumi akisherekea xmas rombo na ndgu zake ambao hat secondary hawajagusa na nchi yenye watu zaidi ya 40mil?,nyie wenyewe kila mwaka mnafanya birthday zenu za zaidi ya 70 elfu na hili khari bado hamja timiza mahitaji yenu yote ya kifamilia iweje gvt isisherekee 50yrs kwa Bs?ok anaway this is a demothinking ground.
Moderator tuondolee vilaza kwenye jamvi letu. Kama huyu anapersonalise matumizi ya fedha za walipa kodi. Hizo hela ni zako na ndugu zako. Je ndivyo ulivyotaka zitumike!? Can you really justify this nonsense by such a weak argument?!!Mi mara nyingi huwa nawashangaa mnaojiita Great thinker,kwani kuna tofauti gani mchaga kutumia milion kumi akisherekea xmas rombo na ndgu zake ambao hat secondary hawajagusa na nchi yenye watu zaidi ya 40mil?,nyie wenyewe kila mwaka mnafanya birthday zenu za zaidi ya 70 elfu na hili khari bado hamja timiza mahitaji yenu yote ya kifamilia iweje gvt isisherekee 50yrs kwa Bs?ok anaway this is a demothinking ground.
Botha hakukosea
Hapo kwenye red, si mmenunuliwa bajaji?? acheni kupenda starehe nyie watanganyika, mnataka landcruiser ili iweje....:eyebrows:Wanafunzi wangapi wameshindwa kuripoti chuo kisa ada?. Shule ngapi za kata hazna madawati, vitabu, laboratory n.k! Vijiji vingapi havina maji! Waalimu wangapi wanadai makato yao!.. Vijiji vingapi havna magari ya kubebea wagonjwa!
Matatizo ni mengi sana. Inakuaje watumie 64bln/day?. Hawawatendei haki watanzania.
mmbeya wake umbeya!!
yale yale............ mkwerre yake ngoma, mchagga zake pesa, mgogo chake kikopo, mkurya zake ghadhab, msukuma zake sifa na mmbeya wake umbeya!!
Mi mara nyingi huwa nawashangaa mnaojiita Great thinker,kwani kuna tofauti gani mchaga kutumia milion kumi akisherekea xmas rombo na ndgu zake ambao hat secondary hawajagusa na nchi yenye watu zaidi ya 40mil?,nyie wenyewe kila mwaka mnafanya birthday zenu za zaidi ya 70 elfu na hili khari bado hamja timiza mahitaji yenu yote ya kifamilia iweje gvt isisherekee 50yrs kwa Bs?ok anaway this is a demothinking ground.