Siamini hili ila ninaogopa kwa huyu Kiongozi BULICHEKA tuliyenaye anaweza kuanza (kigugumizi cha kutokumaster lugha) teh teh teh we (kigugumizi) will support USA teh teh yes teh teh teh yes. Ndugu zangu tukifikisha 2015 salama na kuongozwa na huyu tutoe sadaka ya kushukuru nchi nzima!!!katika harakati za kuunga mkono uvamizi wa marekani kwa IRAN tanzania imejikuta ikiunga mkono marekani kutokana na mahusiano yake ya karibu na marekani, Tanzania pia imeahidiwa kupata gawio la mafuta kama wakifanikiwa kuiangusha Iran, mikakati hiyo imekamilishwa kwenye ziara ya Bush na jk amekubali kushirikiana na marekani bega kwa bega
katika harakati za kuunga mkono uvamizi wa marekani kwa IRAN tanzania imejikuta ikiunga mkono marekani kutokana na mahusiano yake ya karibu na marekani, Tanzania pia imeahidiwa kupata gawio la mafuta kama wakifanikiwa kuiangusha Iran, mikakati hiyo imekamilishwa kwenye ziara ya Bush na jk amekubali kushirikiana na marekani bega kwa bega
katika harakati za kuunga mkono uvamizi wa marekani kwa iran tanzania imejikuta ikiunga mkono marekani kutokana na mahusiano yake ya karibu na marekani, tanzania pia imeahidiwa kupata gawio la mafuta kama wakifanikiwa kuiangusha iran, mikakati hiyo imekamilishwa kwenye ziara ya bush na jk amekubali kushirikiana na marekani bega kwa bega
duh! USA ndio anatutafutia maadui! Nalog off
wabongo kwa kupenda kudanganyana!!!!sasa bush anahusika vipi na maamuzi ya serikali ya obama???????????
Habari za vijiweni jicho lishakuwa nyanya, mjani umekolea kichwani ndio unatuletea hapa shw**** zako. Alafu wala mjani wenzie wanamsapoti eti kwa kuwa kuna Asha Migiro.
Huyu ni Secretary wake hana inshu chakula ya mukubwa haina kazi nyingine.