Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.
ninajiuliza hivi wewe mwanamke unafikiri kwa kutumia kiungo gani katika mwili wako sipati jibu. Maana hata wanaotumia makalio hawawezi kupost upupu wa namna hii. Hivi wewe mwanamke wa kiislamu wa namna gani aliye mjinga namna hii? pheww