Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

Mhhh,hapa umekunya halafu unataka sisi tuzoe.
Hebu njoo na figure ndo tukuelewe,wataje hao mafisadi wa enzi ya Nyerere.
Nyerere amekaa madarakani miaka 24,sasa taja mafisadi wote kwenye uongozi wake
halafu linganisha na mafisadi wa marais hawa wengine waliokaa miaka 10.

Utakuja kushangaa kuona hawa kuanzia Mwinyi hadi huyu jamaa wa sasa ,mbali na wao wenyewe
kuwa wadokozi na kuchekacheka mbele za watu,wametengeneza list ndefu sana ya mafisadi ukiwemo wewe.

Hebu tuanze kuwataja mafisadi na nini walichokifanyia Tanzania.
1.Marais wote baada ya Nyerere ni mafisaidi wakubwa sana,wanaiba hadi wanyama pori.
2.Wewe mtoa topic ni fisadi,na umeifanyia nini Tanzania kama raia,zaidi ya ufisadi?
3.List inaendelea......

Humu ndani, kuna watu wakiona Hayati Julius Nyerere, the First Preisdent wa URT anasemwa vibaya basi wanakuja juu!! Kinachonikera mimi, ni wengi wao kuhusisha na imani za dini! Kwamba, mtu akisema ubaya wa Nyerere, na hasa mtu huyo akihisiwa ni Mwislamu, basi hoja ya wapofu wa hoja watachukulia ukosoaji huo ni chuki ya waislamu dhidi ya Nyerere!! Hivi ni lini Waislamu wamepata kuwa na chuki na mwalimu?! Sasa haya mambo kwamba mtu akitaja mabovu ya Mwalimu basi ni chuki za waislamu dhidi ya mwalimu yanatoka wapi?! Binafsi, am muslim, na kama utaniambia nikutajie my favorite president sitasita kumtaja Julius Nyerere. lakini pamoja na yote hayo, kama nitaambiwa nitaje top two poorest presidents ever happaned in our history, basi Nyerere ni mmoja wapo, akiwa sambamba na mwinyi! Binafsi, nikimwangalia Nyerere, ni eneo moja peke yake ambalo linaweza kumweka kama best leader! hakuwa corrupt leader ingawaje serikali yake ilikuwa very corrupt government!! Na wala si kweli kwamba Nyerere alikuwa mkali kwa corrupt leaders, vinginevyo nchi hii Mwinyi asingeikuta alipoikuta! Sana sana ki2 ambacho labda Nyerere aliweza kuzuia ni kutokuwa na State House corrupt leaders...lakini ukitoka hapo, wengi walikuwa corrupts!

Serikali ya Nyerere ilijaa watendaji ambao walikosa kabisa uwajibikaji na ndio maana Mwinyi alikuja na kitu kilichojulikana kama Fagio La Chuma! Kwanini awe na fagi la chuma wakati uwajibikaji ulikuwapo?! Serikali isiyo corrupt, haiwezi kuwa na irresponsible leaders. Ni kweli, Nyerere hakuwa corrupt leader, lakini aliendesha corrupt government na anayebisha aniambie kwanini viwanda vyote vilifia mikononi mwake!!

Ni kweli JK ni goi goi! hata Nyerere alikuwa ni goi goi kupita kiasi!! hakuwa mkali kama tunavyoaminishwa watu ambao hatukuwa na ufahamu wakati wa utawala wake. Nyerer alikuwa mkali kwa wapinzani wake wa kisiasa, and not otherwise!! Kama alikuwa mkali kweli, umasikini tulionao ulitokea wapi?! Aliwafanya nini waliokuwa wanaharibu mali za umma zaidi ya kuwahamisha?! kama sio ugoi goi tuite nini hii?!

Kulikuwa na miradi kadhaa ambayo ilianzishwa wakati wa utawala wake, na vilevile ilikufa hata kabla haijafika kokote....sasa kama sio ubadhirifu huo tuite nini?! Siwezi kumsifia kiongozi aliye msafi yeye pekee na familia yake wakati serikali yake imejaa watu irresponsible!!

Amekaa Ikulu more than 20 years lakini ametoka akiwa ameachwa barabara zimejaa mahandaki kila mahali!! Bahati mbaya sana, sehemu ambazo zilikuwa na corrupt leaders toka kwenye serikali yake ndio sehemu pekee ambazo angalau zilikuwa na barabara nzuri kidogo! Sehemu ambazo walitoka honest leaders kama yeye, ndizo zikabaki balaa tupu!!! Hiyo ndio sababu kuu iliyofanya mikoa ya kusini kuwa hoe hae zaidi kwani viongozi wake wengi walikuwa honest kama yeye...hawa ni pamoja na akina Kawawa na Nnauye! Hivyo, umaskini wa kusini haukusababishwa na Nyerere kama Nyerere, bali ulisababishwa na irresponsible central government ambayo ugawaji wa keki ya taifa haukuwa the same! ilitegemea sana sehemu husika ana power gani serikalini and how corrupt s/he is!!!

Nyerere ameondoka akiwa ameacha vyuo vikuu viwili tu, UDSM na SUA na kuishia tu ktk kujenga vyuo vya kati ambavyo hata hivyo navyo productivity yake ilikuwa chini. Chuo pekee cha kati ambacho kilikuwa kinatoa elimu ya maana labda ni Mzumbe peke yake....na sababu kuu ni kwavile kilikuwa more political! Tena hata nina mashaka kama kweli kilikuwa kinatoa elimu ya maana!! tangu lini katibu wa nini sijui mwenye miaka 45++ akaweza kuhimili mikiki mikiki ya elimu ya juu?! Tunaambiwa enzi zake elimu ilikuwa na ubora kuliko sasa!! na hii ndio tabia ya wazee....kwamba kila ki2 chao kilikuwa bora!!! Huo ubora ulisaidia nini basi katika kutatua matatizo ya uchumi wa nchi hii?! Sana sana hao tunaoambiwa walikuwa wasomi wakati wa elimu bora ndio hao hao waliogeuka kuwa corrupts wasio na haya wakati wa Mwinyi.....bisheni!!! Kama ni kweli wakati huo elimu ilikuwa bora basi vilevile ilisaidia kuzalisha BEST CORRUPT LEADERS!!! Serkali corrupt haiwezi kuwa na jeuri ya kujenga vyuo vikuu vya kutiosha kwavile haina fedha.....kutokuwa na fedha ni dalili ya serikali corrupt!!!
MATATIZO ya umeme tuliyonayo hivi sasa source yake ilikuwa enzi za mwalimu!!! Serikali ya Mwalimu haiku-forecast mahitaji ya umeme over the next 50 years!! Ni kweli, wakati wa Nyerere, haukuwa wa mgao! Sasa mgao ungetoka wapi wakati nyumba zenyewe za umeme zilikuwa chache?! Mgao ungetoka wapi wakati hakukuwa na uzalishaji mkubwa wa kuhitaji matumizi ya umeme?! Mgao ungetoka wapi wakati hata kumiliki radio ilikuwa ni anasa?! Kwahiyo, si kwamba ni uongozi bora wa Nyerere ambao ulifanya nchi isiwe na mgao/upungufu wa umeme, bali hiyo ilikuwa ni matokeo ya serikali mbovu!

Tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Huduma gani za jamii?! hizo za kufuata zahanati kilometa 50 na shule ya msingi kilometa 10?! Dar es salaam yote hii aliacha shule saba tu za sekondari (za serikali, ambazo hata hivyo hakujenga yeye)-Jangwani, Azania, Tambaza, Forodhani, Kisutu na Kibasila!!! Nani atakayethubutu kusema kwamba shule hizo zilikuwa zinakidhi mahitaji ya elimu ya sekondari jijini? Huko mikoani ndo ilikuwa balaa tupu, unaweza kukuta mkoa mzima una shule moja au mbili za serkali.....bado tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Ni serikali gani ingeshindwa kuhudumia shule chache kama hizo?!

Ubovu wa serikali ya Nyerere ni mwingi kuliko uzuri wake, otherwise, wale wanaoona kwamba mgtu akisema basi ana chuki za kidini (styupid thinking) basi anitajie hapa mazuri yaliyofanywa na serikali yake ambayo natarajia yawe mengi kuliko mabovu!

wapo watakaosema kwamba Nyerere amewezesha nchi hii kuwa na amani! Kwani aliichukuwa wakati nchi haina amani?! Sifa kama hizo anatastahili kupewa Kagame aliyechukua nchi baada ya mauaji ya kutisha nchini mwake! Anyway, waliosoma historia wanisaidie kunitajia ni vita gani vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimepata kupiganwa Tanganyika katika karne ya 19! Kama hakuna au zilikuwa si za kutisha sana, basi inawezekana Watanganyika hatuna silika ya kupigana tangu zama hizo!!

Hivyo basi, mtu anavyotaja ubovu wa Nyerere inakuwa ni ujinga uliepitiliza kusema kwamba ni chuki binafsi...Na inakuwa sio ujinga, bali ni upumbavu mtu akisema ni chuki za kidini! Nyerere kama Nyerere alikuwa was a very good person BUT NOT A GOOD LEADER! He was a good person who was a poor leader! Kutokana na hayo, sipati kigumumizi hata chembe kusema wazi kwamba SI KWAMBA NYERERE ALIKUWA NA MAPUNGUFU, BALI ALIKUWA KIONGOZI MBOVU! Ukweli wenyewe ndio huo, ukiona mgumu kuumeza, chukua maji ushushie!

Anayekataa, atoe data za mazuri yake kama kiongozi yenyewe manufaa kwa Tanzania!

Nimeisoma hii habari yako ndefuuuu mpaka nimefika mwisho ila sijaelewa hasa ni nini unachotaka kusema au ni nini hasa mchango wa hiki ulichokiandika katika maendeleo ya Tanzania yetu hii ya sasa. Unataka kutuambia kwamba kwa vile kipindi cha Nyerere kulikuwa na viongozi corrupt kwa hiyo ni halali na sasa tuwe na viongozi corrupt? Embu tupe link kati ya hicho ulichokiandika na hali ya Tanzania kwa sasa mkuu...Tusijadili historia tuuuu bila kujua inatusaidia nini katika maisha yetu kama watanzania wa leo.

Kama ujaelewa basi utakuwa una matatizo ya ufahamu!
 
Nyerere alikuwa kiongozi wa watu na alikosea mengi katika jitihada ya kuwatendea mema watu. Viongozi wengi wa kizazi hiki Afrika ni viongozi wa kupigania maslahi yao, ya familia zao, marafiki zao na watu wanaowahusu. Sasa hivi ni nadra sana kumpata kiongozi ambaye kipaumbele chake cha kuutaka uongozi ni kuwatendea mazuri watu na ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa kama pesa,kununua vyombo vya habari, kukashifu wenzao kama kudai fulani alimuua Karume nk. Nguvu hii kubwa ya kihalifu kuupata uongozi kweli ina nia ya kuingia madarakani kwa ajili ya wananchi? Nyerere alikosea sana lakini alikuwa kiongozi wa watu.
 
Nimeongea na Waislamu wengi, kusema kweli hakuna anayemsema vizuri Nyerere pamoja na mazuri yake mengi na pia hakuna anayemsema vibaya Kikwete pamoja na mabaya yake mengi! Piga, ua, garagaza hapa issue kuu ni UDINI! Kwa upande wa Wakristo wamekuwa critical hata kuwaita akina Mkapa, Lowassa, Chenge, etc MAFISADI! Laiti kama Mkapa, Lowassa, Chenge, etc wangekuwa Waislamu ungeona sarakasi nyiingi za Waislamu za kuwasafisha! Anyway, asikudanganye mtu, major issue hapa ni UDINI, period! Ndio maana Waislamu bila haya wanadiriki kuwatetea mafisadi wa Ikulu MWINYI na SITI MWINYI, simply kwa kuwa alikwapua mafungu ya Ikulu kuwajengea misikiti! Fuatilieni mijadala ya Waislamu humu mtajua ninasema nini, maana mawajua kwa matendo yao!
 
Kakaa,achane nao hao wafe na gubu lao nyerere ndio baba wa taifa na asiyetaka ahame nchi. Na kama kuna mtu anayejisikia na kujiona nyerere ni mchafu aache kumnukuu au kumzungumzia wakati wa sherehe zao au siasa,mbona kila kukicha wakiwa wanaomba kura au wananatatizo wanataka kushindana kisiasa ni kumtaja tu Baba wa taifa,,,wajitaje wao basi kama hawajazowewaa ovyoooo
 
Usitishe watu kwamba kuna kitu kikubwa sana kwenye uongozi wa nyerere..

embu eleza moja moja basi tuelewe kuliko maneno matupu..

Mazuri ni nyerere ni babu,baba,mama, vionngozi wako unaoona wamefanya mazuri kuliko Nyerere na hata we mwenyewe walisoma bure,tena kwa kura mikate maziwa na siagi,ukatibiwa bure....siasa safi sio siasa za majitaka au hovo hovyo zenu za siku hizi kama unavyomfania mwalimu na uongozi bora wa kizalendo ulioleta amani ambayo kila siku mnaiimba...sio uongozi wa kujali matumbo pia kuwa na political statistics za uchumi huku kila kona ya nchi imejaa shida,na watu kama nyie mkitetea uozo kwa kuwa mpo kwenye mirija ya kunyonya nchi yetu
 
Humu ndani, kuna watu wakiona Hayati Julius Nyerere, the First Preisdent wa URT anasemwa vibaya basi wanakuja juu!! Kinachonikera mimi, ni wengi wao kuhusisha na imani za dini! Kwamba, mtu akisema ubaya wa Nyerere, na hasa mtu huyo akihisiwa ni Mwislamu, basi hoja ya wapofu wa hoja watachukulia ukosoaji huo ni chuki ya waislamu dhidi ya Nyerere!! Hivi ni lini Waislamu wamepata kuwa na chuki na mwalimu?! Sasa haya mambo kwamba mtu akitaja mabovu ya Mwalimu basi ni chuki za waislamu dhidi ya mwalimu yanatoka wapi?! Binafsi, am muslim, na kama utaniambia nikutajie my favorite president sitasita kumtaja Julius Nyerere. lakini pamoja na yote hayo, kama nitaambiwa nitaje top two poorest presidents ever happaned in our history, basi Nyerere ni mmoja wapo, akiwa sambamba na mwinyi! Binafsi, nikimwangalia Nyerere, ni eneo moja peke yake ambalo linaweza kumweka kama best leader! hakuwa corrupt leader ingawaje serikali yake ilikuwa very corrupt government!! Na wala si kweli kwamba Nyerere alikuwa mkali kwa corrupt leaders, vinginevyo nchi hii Mwinyi asingeikuta alipoikuta! Sana sana ki2 ambacho labda Nyerere aliweza kuzuia ni kutokuwa na State House corrupt leaders...lakini ukitoka hapo, wengi walikuwa corrupts!

Serikali ya Nyerere ilijaa watendaji ambao walikosa kabisa uwajibikaji na ndio maana Mwinyi alikuja na kitu kilichojulikana kama Fagio La Chuma! Kwanini awe na fagi la chuma wakati uwajibikaji ulikuwapo?! Serikali isiyo corrupt, haiwezi kuwa na irresponsible leaders. Ni kweli, Nyerere hakuwa corrupt leader, lakini aliendesha corrupt government na anayebisha aniambie kwanini viwanda vyote vilifia mikononi mwake!!

Ni kweli JK ni goi goi! hata Nyerere alikuwa ni goi goi kupita kiasi!! hakuwa mkali kama tunavyoaminishwa watu ambao hatukuwa na ufahamu wakati wa utawala wake. Nyerer alikuwa mkali kwa wapinzani wake wa kisiasa, and not otherwise!! Kama alikuwa mkali kweli, umasikini tulionao ulitokea wapi?! Aliwafanya nini waliokuwa wanaharibu mali za umma zaidi ya kuwahamisha?! kama sio ugoi goi tuite nini hii?!

Kulikuwa na miradi kadhaa ambayo ilianzishwa wakati wa utawala wake, na vilevile ilikufa hata kabla haijafika kokote....sasa kama sio ubadhirifu huo tuite nini?! Siwezi kumsifia kiongozi aliye msafi yeye pekee na familia yake wakati serikali yake imejaa watu irresponsible!!

Amekaa Ikulu more than 20 years lakini ametoka akiwa ameachwa barabara zimejaa mahandaki kila mahali!! Bahati mbaya sana, sehemu ambazo zilikuwa na corrupt leaders toka kwenye serikali yake ndio sehemu pekee ambazo angalau zilikuwa na barabara nzuri kidogo! Sehemu ambazo walitoka honest leaders kama yeye, ndizo zikabaki balaa tupu!!! Hiyo ndio sababu kuu iliyofanya mikoa ya kusini kuwa hoe hae zaidi kwani viongozi wake wengi walikuwa honest kama yeye...hawa ni pamoja na akina Kawawa na Nnauye! Hivyo, umaskini wa kusini haukusababishwa na Nyerere kama Nyerere, bali ulisababishwa na irresponsible central government ambayo ugawaji wa keki ya taifa haukuwa the same! ilitegemea sana sehemu husika ana power gani serikalini and how corrupt s/he is!!!

Nyerere ameondoka akiwa ameacha vyuo vikuu viwili tu, UDSM na SUA na kuishia tu ktk kujenga vyuo vya kati ambavyo hata hivyo navyo productivity yake ilikuwa chini. Chuo pekee cha kati ambacho kilikuwa kinatoa elimu ya maana labda ni Mzumbe peke yake....na sababu kuu ni kwavile kilikuwa more political! Tena hata nina mashaka kama kweli kilikuwa kinatoa elimu ya maana!! tangu lini katibu wa nini sijui mwenye miaka 45++ akaweza kuhimili mikiki mikiki ya elimu ya juu?! Tunaambiwa enzi zake elimu ilikuwa na ubora kuliko sasa!! na hii ndio tabia ya wazee....kwamba kila ki2 chao kilikuwa bora!!! Huo ubora ulisaidia nini basi katika kutatua matatizo ya uchumi wa nchi hii?! Sana sana hao tunaoambiwa walikuwa wasomi wakati wa elimu bora ndio hao hao waliogeuka kuwa corrupts wasio na haya wakati wa Mwinyi.....bisheni!!! Kama ni kweli wakati huo elimu ilikuwa bora basi vilevile ilisaidia kuzalisha BEST CORRUPT LEADERS!!! Serkali corrupt haiwezi kuwa na jeuri ya kujenga vyuo vikuu vya kutiosha kwavile haina fedha.....kutokuwa na fedha ni dalili ya serikali corrupt!!!
MATATIZO ya umeme tuliyonayo hivi sasa source yake ilikuwa enzi za mwalimu!!! Serikali ya Mwalimu haiku-forecast mahitaji ya umeme over the next 50 years!! Ni kweli, wakati wa Nyerere, haukuwa wa mgao! Sasa mgao ungetoka wapi wakati nyumba zenyewe za umeme zilikuwa chache?! Mgao ungetoka wapi wakati hakukuwa na uzalishaji mkubwa wa kuhitaji matumizi ya umeme?! Mgao ungetoka wapi wakati hata kumiliki radio ilikuwa ni anasa?! Kwahiyo, si kwamba ni uongozi bora wa Nyerere ambao ulifanya nchi isiwe na mgao/upungufu wa umeme, bali hiyo ilikuwa ni matokeo ya serikali mbovu!

Tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Huduma gani za jamii?! hizo za kufuata zahanati kilometa 50 na shule ya msingi kilometa 10?! Dar es salaam yote hii aliacha shule saba tu za sekondari (za serikali, ambazo hata hivyo hakujenga yeye)-Jangwani, Azania, Tambaza, Forodhani, Kisutu na Kibasila!!! Nani atakayethubutu kusema kwamba shule hizo zilikuwa zinakidhi mahitaji ya elimu ya sekondari jijini? Huko mikoani ndo ilikuwa balaa tupu, unaweza kukuta mkoa mzima una shule moja au mbili za serkali.....bado tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Ni serikali gani ingeshindwa kuhudumia shule chache kama hizo?!

Ubovu wa serikali ya Nyerere ni mwingi kuliko uzuri wake, otherwise, wale wanaoona kwamba mgtu akisema basi ana chuki za kidini (styupid thinking) basi anitajie hapa mazuri yaliyofanywa na serikali yake ambayo natarajia yawe mengi kuliko mabovu!

wapo watakaosema kwamba Nyerere amewezesha nchi hii kuwa na amani! Kwani aliichukuwa wakati nchi haina amani?! Sifa kama hizo anatastahili kupewa Kagame aliyechukua nchi baada ya mauaji ya kutisha nchini mwake! Anyway, waliosoma historia wanisaidie kunitajia ni vita gani vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimepata kupiganwa Tanganyika katika karne ya 19! Kama hakuna au zilikuwa si za kutisha sana, basi inawezekana Watanganyika hatuna silika ya kupigana tangu zama hizo!!

Hivyo basi, mtu anavyotaja ubovu wa Nyerere inakuwa ni ujinga uliepitiliza kusema kwamba ni chuki binafsi...Na inakuwa sio ujinga, bali ni upumbavu mtu akisema ni chuki za kidini! Nyerere kama Nyerere alikuwa was a very good person BUT NOT A GOOD LEADER! He was a good person who was a poor leader! Kutokana na hayo, sipati kigumumizi hata chembe kusema wazi kwamba SI KWAMBA NYERERE ALIKUWA NA MAPUNGUFU, BALI ALIKUWA KIONGOZI MBOVU! Ukweli wenyewe ndio huo, ukiona mgumu kuumeza, chukua maji ushushie!

Anayekataa, atoe data za mazuri yake kama kiongozi yenyewe manufaa kwa Tanzania!

Hata ulivyopost inaonyesha unafiki na prejudice ya hali ya juu! on "NYERERE 'HAKUWA NA MAPUNGUFU' LAKINI ALIKUWA KIONGOZI MBOVU" Unakubaliana na lipi kati hizi contadicting statements?! mnafiki mkubwa. UDINI unauleta wewe kwa ujinga wa kujemga hoja! Unaposema waislamu hawakuwa/hawana na chuki na Nyerere una maana gani? tumeona threads nyingi sana hum nyingi zikionyesha kuwa waislamu walitafuta/pigania uhuru wa tanganyika Nyerere akawadhulumu haki ya kuongoza. Eti vile nyerere alianzisha mfumo Kristo Crazy ****** bila yeye wote nyie wala msingekuwa na lolote kwa wamisionari waliokuja kuhamasisha madrasa na Ilimu Ahera.
Kwa kipindi kile "Nyerere was the greatest but also a human being"
 
Humu ndani, kuna watu wakiona Hayati Julius Nyerere, the First Preisdent wa URT anasemwa vibaya basi wanakuja juu!! Kinachonikera mimi, ni wengi wao kuhusisha na imani za dini! Kwamba, mtu akisema ubaya wa Nyerere, na hasa mtu huyo akihisiwa ni Mwislamu, basi hoja ya wapofu wa hoja watachukulia ukosoaji huo ni chuki ya waislamu dhidi ya Nyerere!! Hivi ni lini Waislamu wamepata kuwa na chuki na mwalimu?! Sasa haya mambo kwamba mtu akitaja mabovu ya Mwalimu basi ni chuki za waislamu dhidi ya mwalimu yanatoka wapi?! Binafsi, am muslim, na kama utaniambia nikutajie my favorite president sitasita kumtaja Julius Nyerere. lakini pamoja na yote hayo, kama nitaambiwa nitaje top two poorest presidents ever happaned in our history, basi Nyerere ni mmoja wapo, akiwa sambamba na mwinyi! Binafsi, nikimwangalia Nyerere, ni eneo moja peke yake ambalo linaweza kumweka kama best leader! hakuwa corrupt leader ingawaje serikali yake ilikuwa very corrupt government!! Na wala si kweli kwamba Nyerere alikuwa mkali kwa corrupt leaders, vinginevyo nchi hii Mwinyi asingeikuta alipoikuta! Sana sana ki2 ambacho labda Nyerere aliweza kuzuia ni kutokuwa na State House corrupt leaders...lakini ukitoka hapo, wengi walikuwa corrupts!

Serikali ya Nyerere ilijaa watendaji ambao walikosa kabisa uwajibikaji na ndio maana Mwinyi alikuja na kitu kilichojulikana kama Fagio La Chuma! Kwanini awe na fagi la chuma wakati uwajibikaji ulikuwapo?! Serikali isiyo corrupt, haiwezi kuwa na irresponsible leaders. Ni kweli, Nyerere hakuwa corrupt leader, lakini aliendesha corrupt government na anayebisha aniambie kwanini viwanda vyote vilifia mikononi mwake!!

Ni kweli JK ni goi goi! hata Nyerere alikuwa ni goi goi kupita kiasi!! hakuwa mkali kama tunavyoaminishwa watu ambao hatukuwa na ufahamu wakati wa utawala wake. Nyerer alikuwa mkali kwa wapinzani wake wa kisiasa, and not otherwise!! Kama alikuwa mkali kweli, umasikini tulionao ulitokea wapi?! Aliwafanya nini waliokuwa wanaharibu mali za umma zaidi ya kuwahamisha?! kama sio ugoi goi tuite nini hii?!

Kulikuwa na miradi kadhaa ambayo ilianzishwa wakati wa utawala wake, na vilevile ilikufa hata kabla haijafika kokote....sasa kama sio ubadhirifu huo tuite nini?! Siwezi kumsifia kiongozi aliye msafi yeye pekee na familia yake wakati serikali yake imejaa watu irresponsible!!

Amekaa Ikulu more than 20 years lakini ametoka akiwa ameachwa barabara zimejaa mahandaki kila mahali!! Bahati mbaya sana, sehemu ambazo zilikuwa na corrupt leaders toka kwenye serikali yake ndio sehemu pekee ambazo angalau zilikuwa na barabara nzuri kidogo! Sehemu ambazo walitoka honest leaders kama yeye, ndizo zikabaki balaa tupu!!! Hiyo ndio sababu kuu iliyofanya mikoa ya kusini kuwa hoe hae zaidi kwani viongozi wake wengi walikuwa honest kama yeye...hawa ni pamoja na akina Kawawa na Nnauye! Hivyo, umaskini wa kusini haukusababishwa na Nyerere kama Nyerere, bali ulisababishwa na irresponsible central government ambayo ugawaji wa keki ya taifa haukuwa the same! ilitegemea sana sehemu husika ana power gani serikalini and how corrupt s/he is!!!

Nyerere ameondoka akiwa ameacha vyuo vikuu viwili tu, UDSM na SUA na kuishia tu ktk kujenga vyuo vya kati ambavyo hata hivyo navyo productivity yake ilikuwa chini. Chuo pekee cha kati ambacho kilikuwa kinatoa elimu ya maana labda ni Mzumbe peke yake....na sababu kuu ni kwavile kilikuwa more political! Tena hata nina mashaka kama kweli kilikuwa kinatoa elimu ya maana!! tangu lini katibu wa nini sijui mwenye miaka 45++ akaweza kuhimili mikiki mikiki ya elimu ya juu?! Tunaambiwa enzi zake elimu ilikuwa na ubora kuliko sasa!! na hii ndio tabia ya wazee....kwamba kila ki2 chao kilikuwa bora!!! Huo ubora ulisaidia nini basi katika kutatua matatizo ya uchumi wa nchi hii?! Sana sana hao tunaoambiwa walikuwa wasomi wakati wa elimu bora ndio hao hao waliogeuka kuwa corrupts wasio na haya wakati wa Mwinyi.....bisheni!!! Kama ni kweli wakati huo elimu ilikuwa bora basi vilevile ilisaidia kuzalisha BEST CORRUPT LEADERS!!! Serkali corrupt haiwezi kuwa na jeuri ya kujenga vyuo vikuu vya kutiosha kwavile haina fedha.....kutokuwa na fedha ni dalili ya serikali corrupt!!!
MATATIZO ya umeme tuliyonayo hivi sasa source yake ilikuwa enzi za mwalimu!!! Serikali ya Mwalimu haiku-forecast mahitaji ya umeme over the next 50 years!! Ni kweli, wakati wa Nyerere, haukuwa wa mgao! Sasa mgao ungetoka wapi wakati nyumba zenyewe za umeme zilikuwa chache?! Mgao ungetoka wapi wakati hakukuwa na uzalishaji mkubwa wa kuhitaji matumizi ya umeme?! Mgao ungetoka wapi wakati hata kumiliki radio ilikuwa ni anasa?! Kwahiyo, si kwamba ni uongozi bora wa Nyerere ambao ulifanya nchi isiwe na mgao/upungufu wa umeme, bali hiyo ilikuwa ni matokeo ya serikali mbovu!

Tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Huduma gani za jamii?! hizo za kufuata zahanati kilometa 50 na shule ya msingi kilometa 10?! Dar es salaam yote hii aliacha shule saba tu za sekondari (za serikali, ambazo hata hivyo hakujenga yeye)-Jangwani, Azania, Tambaza, Forodhani, Kisutu na Kibasila!!! Nani atakayethubutu kusema kwamba shule hizo zilikuwa zinakidhi mahitaji ya elimu ya sekondari jijini? Huko mikoani ndo ilikuwa balaa tupu, unaweza kukuta mkoa mzima una shule moja au mbili za serkali.....bado tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Ni serikali gani ingeshindwa kuhudumia shule chache kama hizo?!

Ubovu wa serikali ya Nyerere ni mwingi kuliko uzuri wake, otherwise, wale wanaoona kwamba mgtu akisema basi ana chuki za kidini (styupid thinking) basi anitajie hapa mazuri yaliyofanywa na serikali yake ambayo natarajia yawe mengi kuliko mabovu!

wapo watakaosema kwamba Nyerere amewezesha nchi hii kuwa na amani! Kwani aliichukuwa wakati nchi haina amani?! Sifa kama hizo anatastahili kupewa Kagame aliyechukua nchi baada ya mauaji ya kutisha nchini mwake! Anyway, waliosoma historia wanisaidie kunitajia ni vita gani vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimepata kupiganwa Tanganyika katika karne ya 19! Kama hakuna au zilikuwa si za kutisha sana, basi inawezekana Watanganyika hatuna silika ya kupigana tangu zama hizo!!

Hivyo basi, mtu anavyotaja ubovu wa Nyerere inakuwa ni ujinga uliepitiliza kusema kwamba ni chuki binafsi...Na inakuwa sio ujinga, bali ni upumbavu mtu akisema ni chuki za kidini! Nyerere kama Nyerere alikuwa was a very good person BUT NOT A GOOD LEADER! He was a good person who was a poor leader! Kutokana na hayo, sipati kigumumizi hata chembe kusema wazi kwamba SI KWAMBA NYERERE ALIKUWA NA MAPUNGUFU, BALI ALIKUWA KIONGOZI MBOVU! Ukweli wenyewe ndio huo, ukiona mgumu kuumeza, chukua maji ushushie!

Anayekataa, atoe data za mazuri yake kama kiongozi yenyewe manufaa kwa Tanzania!

Ama kweli asiyejua maana haambiwi maana. Chuki yako i wazi na kama kweli ungekuwa ni mtu anayefuatilia hoja humu ndani usingesema hayo. Ni bora niseme unahitaji kusamehewa na kuombewa kwani hujui ulilolisema.
 
Mkuu NasDaz, let's cut to the chase; this is all about FaizaFoxy and Topical, to name but few!! Kama member analeta topic inayomsema Mwl. Nyerere, na akaongelea mapungufu yake kama jinsi ulivyoainisha wewe hapo juu, watu wala hawataona ni jambo la udini. Na pahala pengi swala la udini linajiingiza kutokana na msimamo wa chuki walionao baadhi ya members; haswa hawa wawili niliowataja.

Hapa nipo kijijini, kwenye moja ya vijiji vya ujamaa vilivyoanzishwa kama moja ya mipango ya maendeleo iliyo fail miserably chini ya Mwl. Nyerere. Na ninathubutu kusema kwamba, karibia watu wote nilioongea nao kuhusiana na mapungufu yaliyopo kwenye hiki kijiji, sasa na kwa wakati uliopita; wazee kwa vijana, wote wanamlaumu Nyerere pamoja na serikali ya CCM!!!! Kama unafikiria hili jimbo liko chini ya upinzani, jibu ni hapana. Ni CCM. Huku kuna watu wasiona dini, wanaoabudu mizimu na hawjui chaki ya darasani inafananaje!

Sasa leo hii mkuu wangu unataka kusema kwamba, sisi hapa tunaoweza kubahatika kupata nafasi na kuweka masalio kwenye modem zetu ili kuweza kushiriki hapa JF wote hatuna uelewa wala uthubutu wa kuweza kulinganisha na kutenganisha baina ya michango ya member wenye lengo la kueneza chuki na wale wenye kutaka kujadili bila chuki dhidi ya Nyerere?! Matter of fact, hata kama uwe member mwenye chuki na Nyerere, hilo ni juu yako. Maana kila mmoja anamsimamo wake na sababu zake. Tunachokipinga hapa ni kule kutumia jukwaa hili la jamii kuoneza HATRED. Maana hakuna kingine kinachojithibitisha zaidi ya hatred dhidi ya Nyerere kwa baadhi ya wachangiaji. Basi, pale unapoona watu wana wa-attack hawa wachache, kwa maoni yangu, ni kutokana na kutokukubaliana na mbinu hii chafu inayotumiwa na hawa watu.

Hatred dhidi ya jamii moja na watu binafsi mara nyingi tumejionea na kusikia zikienezwa kupitia nyumba za ibaada. Hawa wenye uelekeo na msimamo wa namna hii pale wanapopata nafasi ya kueneza hizi chuki, wanafanya hivyo kwa kujificha chini ya mwamvuli wa "where we dare talk openly". Nyerere kama binadamu alikuwa na mapungufu yake, kama kiongozi alikuwa na mapungufu yake, tena mengi tu. Lakini basi tuyajadili haya mapungufu kwa hoja na si katika msingi wa chuki.
 
Nyerere alikuwa na nia nzuri lakini katika kiwewe cha madaraka, alisahau kitu kinaitwa "LAW OF UNITENDED CONSEQUENCES". Nitaillustrate kwa kutumia mifano;

1. Utaifishaji wa Biashara:

Nia: Alilazimisha biashara zote ziwe chini ya serikali akitegemea faida zitazopatikana zitaenda kugharimia miradi ya maendeleo.

Matokeo: Hali mradi mashirika haya yalikuwa hayana wenyewe baada ya kutaifishwa, maofisa waliopewa kuyaendesha waliyaendesha vibaya na kuiba chochote kilichopatikana.

2. Utaifishaji wa elimu:

Nia: Ili wananchi wote wapate elimu, alitaifisha shule za madhehebu ya dini. Alitegemea hili lingetoa fursa kwa wote kusoma.

Matokeo: Mzigo wa kuendesha hizo shule ukawa too much. Miundombinu za Shule zikaanza kuharibika na kiwango cha elimu nacho kikaporomoka. Ukweli ni kwamba serikali haitakiwi ijiingize kuendesha shule kwa sababu hiyo ni biashara kama zilivyo zingine. Namna pekee ya serikali kujiingiza kwenye elimu ni kwa kusimamia ubora na kutoa ruzuku ili kusaidia kulipia karo.

3. Katiba aliyotuachia

Nia: Kutuwekea katiba ambapo Rais ana nguvu kubwa mno. Baada ya uhuru kuna waswahili walikuwa wanaona shida kupokea amri kutoka kwa mwafrika mwenzao. Namna pekee ilikuwa kuhakiksha Rais ana madaraka makubwa sana.

Matokeo: Nyakati zimebadilika, waswahili sasa hivi wanaelewa zaidi dhana ya uongozi lakini bado katiba ni ile ya mabavu. Mapungufu ni mengi kuliko faida, kwa mfano; kama Rais anateuwa kila mtu, ni nani anayeweza kumwajibisha mwenzake?

Mifano ni mingi lakini nitaacha hapo kwa sasa, usafiri wangu umefika ngoja niende kazini.
 
Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa ni kiongozi bora na mfano wa kuigwa...nashangaa tangia afariki mwaka 1999 kuna baadhi ya watu wanaanza kumsema vibaya,kumkashifu, hivi niwaulize swali moja tu? kwanini kipindi alivyokuwa hai hakumsema huo UNAFIKI wenu!
Mwalimu Julius K.Nyerere Alifanya mamabo makubwa yafuatao ambayo watanzania hatutasahu
+Kuunganisha Tanzania na kuwa kitu kimoja...,hasa ukuzingatia Tanzania kuna makabila zaidi ya 120..,na vilevile kuna dini kubwa mbili ambao ni wakristo na waislamu..,ndugu zetu wanigeria walishindwa kuweka umoja kati ya wakristo na waislamu kutokana na kukosa kiongozi bora kama mwalimu na vilevile majirani wenzetu kenya kuna ukabila kutokana na Kenyatta kupendelea wakikuyu wenzake! ndio maana Tanzania tuanjivunia amani tuliyokuwa nao sasa hivi ingawa kuna watu waashaanza kuleta chuki za kidini
+Kutokuwa fisadi ama kujilikimbikizia mali tumeona maraisi kama Ben Mkapa na Mwinyi wamejilimbikizia mali au maraisi wengine wa afrika..,lakini nyerere alikufa maskini na hadi leo familia yake haina chochote lakini bado bado mnamuhukumu vibaya
+Nyerere alijenga uchumi imara,ikiwamo viwanda ambavyo ben mkapa alikuja kuviua,

Sasa Nadhani Nyerere Angekuwa mdini,fisadi labda huyu jamaa aliyepost hii mada ndio angemsifu ni kiongozi bora
 
Kansa kubwa aliyoiacha ni viongozi wabovu na zaidi 70 asilimia bado wanang'ang'ania kuwepo madarakani at any cost.
 
Humu ndani, kuna watu wakiona Hayati Julius Nyerere, the First Preisdent wa URT anasemwa vibaya basi wanakuja juu!! Kinachonikera mimi, ni wengi wao kuhusisha na imani za dini! Kwamba, mtu akisema ubaya wa Nyerere, na hasa mtu huyo akihisiwa ni Mwislamu, basi hoja ya wapofu wa hoja watachukulia ukosoaji huo ni chuki ya waislamu dhidi ya Nyerere!! Hivi ni lini Waislamu wamepata kuwa na chuki na mwalimu?! Sasa haya mambo kwamba mtu akitaja mabovu ya Mwalimu basi ni chuki za waislamu dhidi ya mwalimu yanatoka wapi?! Binafsi, am muslim, na kama utaniambia nikutajie my favorite president sitasita kumtaja Julius Nyerere. lakini pamoja na yote hayo, kama nitaambiwa nitaje top two poorest presidents ever happaned in our history, basi Nyerere ni mmoja wapo, akiwa sambamba na mwinyi! Binafsi, nikimwangalia Nyerere, ni eneo moja peke yake ambalo linaweza kumweka kama best leader! hakuwa corrupt leader ingawaje serikali yake ilikuwa very corrupt government!! Na wala si kweli kwamba Nyerere alikuwa mkali kwa corrupt leaders, vinginevyo nchi hii Mwinyi asingeikuta alipoikuta! Sana sana ki2 ambacho labda Nyerere aliweza kuzuia ni kutokuwa na State House corrupt leaders...lakini ukitoka hapo, wengi walikuwa corrupts!

Serikali ya Nyerere ilijaa watendaji ambao walikosa kabisa uwajibikaji na ndio maana Mwinyi alikuja na kitu kilichojulikana kama Fagio La Chuma! Kwanini awe na fagi la chuma wakati uwajibikaji ulikuwapo?! Serikali isiyo corrupt, haiwezi kuwa na irresponsible leaders. Ni kweli, Nyerere hakuwa corrupt leader, lakini aliendesha corrupt government na anayebisha aniambie kwanini viwanda vyote vilifia mikononi mwake!!

Ni kweli JK ni goi goi! hata Nyerere alikuwa ni goi goi kupita kiasi!! hakuwa mkali kama tunavyoaminishwa watu ambao hatukuwa na ufahamu wakati wa utawala wake. Nyerer alikuwa mkali kwa wapinzani wake wa kisiasa, and not otherwise!! Kama alikuwa mkali kweli, umasikini tulionao ulitokea wapi?! Aliwafanya nini waliokuwa wanaharibu mali za umma zaidi ya kuwahamisha?! kama sio ugoi goi tuite nini hii?!

Kulikuwa na miradi kadhaa ambayo ilianzishwa wakati wa utawala wake, na vilevile ilikufa hata kabla haijafika kokote....sasa kama sio ubadhirifu huo tuite nini?! Siwezi kumsifia kiongozi aliye msafi yeye pekee na familia yake wakati serikali yake imejaa watu irresponsible!!

Amekaa Ikulu more than 20 years lakini ametoka akiwa ameachwa barabara zimejaa mahandaki kila mahali!! Bahati mbaya sana, sehemu ambazo zilikuwa na corrupt leaders toka kwenye serikali yake ndio sehemu pekee ambazo angalau zilikuwa na barabara nzuri kidogo! Sehemu ambazo walitoka honest leaders kama yeye, ndizo zikabaki balaa tupu!!! Hiyo ndio sababu kuu iliyofanya mikoa ya kusini kuwa hoe hae zaidi kwani viongozi wake wengi walikuwa honest kama yeye...hawa ni pamoja na akina Kawawa na Nnauye! Hivyo, umaskini wa kusini haukusababishwa na Nyerere kama Nyerere, bali ulisababishwa na irresponsible central government ambayo ugawaji wa keki ya taifa haukuwa the same! ilitegemea sana sehemu husika ana power gani serikalini and how corrupt s/he is!!!

Nyerere ameondoka akiwa ameacha vyuo vikuu viwili tu, UDSM na SUA na kuishia tu ktk kujenga vyuo vya kati ambavyo hata hivyo navyo productivity yake ilikuwa chini. Chuo pekee cha kati ambacho kilikuwa kinatoa elimu ya maana labda ni Mzumbe peke yake....na sababu kuu ni kwavile kilikuwa more political! Tena hata nina mashaka kama kweli kilikuwa kinatoa elimu ya maana!! tangu lini katibu wa nini sijui mwenye miaka 45++ akaweza kuhimili mikiki mikiki ya elimu ya juu?! Tunaambiwa enzi zake elimu ilikuwa na ubora kuliko sasa!! na hii ndio tabia ya wazee....kwamba kila ki2 chao kilikuwa bora!!! Huo ubora ulisaidia nini basi katika kutatua matatizo ya uchumi wa nchi hii?! Sana sana hao tunaoambiwa walikuwa wasomi wakati wa elimu bora ndio hao hao waliogeuka kuwa corrupts wasio na haya wakati wa Mwinyi.....bisheni!!! Kama ni kweli wakati huo elimu ilikuwa bora basi vilevile ilisaidia kuzalisha BEST CORRUPT LEADERS!!! Serkali corrupt haiwezi kuwa na jeuri ya kujenga vyuo vikuu vya kutiosha kwavile haina fedha.....kutokuwa na fedha ni dalili ya serikali corrupt!!!
MATATIZO ya umeme tuliyonayo hivi sasa source yake ilikuwa enzi za mwalimu!!! Serikali ya Mwalimu haiku-forecast mahitaji ya umeme over the next 50 years!! Ni kweli, wakati wa Nyerere, haukuwa wa mgao! Sasa mgao ungetoka wapi wakati nyumba zenyewe za umeme zilikuwa chache?! Mgao ungetoka wapi wakati hakukuwa na uzalishaji mkubwa wa kuhitaji matumizi ya umeme?! Mgao ungetoka wapi wakati hata kumiliki radio ilikuwa ni anasa?! Kwahiyo, si kwamba ni uongozi bora wa Nyerere ambao ulifanya nchi isiwe na mgao/upungufu wa umeme, bali hiyo ilikuwa ni matokeo ya serikali mbovu!

Tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Huduma gani za jamii?! hizo za kufuata zahanati kilometa 50 na shule ya msingi kilometa 10?! Dar es salaam yote hii aliacha shule saba tu za sekondari (za serikali, ambazo hata hivyo hakujenga yeye)-Jangwani, Azania, Tambaza, Forodhani, Kisutu na Kibasila!!! Nani atakayethubutu kusema kwamba shule hizo zilikuwa zinakidhi mahitaji ya elimu ya sekondari jijini? Huko mikoani ndo ilikuwa balaa tupu, unaweza kukuta mkoa mzima una shule moja au mbili za serkali.....bado tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Ni serikali gani ingeshindwa kuhudumia shule chache kama hizo?!

Ubovu wa serikali ya Nyerere ni mwingi kuliko uzuri wake, otherwise, wale wanaoona kwamba mgtu akisema basi ana chuki za kidini (styupid thinking) basi anitajie hapa mazuri yaliyofanywa na serikali yake ambayo natarajia yawe mengi kuliko mabovu!

wapo watakaosema kwamba Nyerere amewezesha nchi hii kuwa na amani! Kwani aliichukuwa wakati nchi haina amani?! Sifa kama hizo anatastahili kupewa Kagame aliyechukua nchi baada ya mauaji ya kutisha nchini mwake! Anyway, waliosoma historia wanisaidie kunitajia ni vita gani vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimepata kupiganwa Tanganyika katika karne ya 19! Kama hakuna au zilikuwa si za kutisha sana, basi inawezekana Watanganyika hatuna silika ya kupigana tangu zama hizo!!

Hivyo basi, mtu anavyotaja ubovu wa Nyerere inakuwa ni ujinga uliepitiliza kusema kwamba ni chuki binafsi...Na inakuwa sio ujinga, bali ni upumbavu mtu akisema ni chuki za kidini! Nyerere kama Nyerere alikuwa was a very good person BUT NOT A GOOD LEADER! He was a good person who was a poor leader! Kutokana na hayo, sipati kigumumizi hata chembe kusema wazi kwamba SI KWAMBA NYERERE ALIKUWA NA MAPUNGUFU, BALI ALIKUWA KIONGOZI MBOVU! Ukweli wenyewe ndio huo, ukiona mgumu kuumeza, chukua maji ushushie!

Anayekataa, atoe data za mazuri yake kama kiongozi yenyewe manufaa kwa Tanzania!

Mwalimu alipoingia Madarakani alikuwa na wahandisi watatu tu,wataalamu wengine wachache sana! akajenga viwanda vya Nguo vingi na akaanzisha mashirika ya umma kibao,nikiwa mdogo nimekua nasikia mashirika kibao ya umma,viwanda nk,vitu hivyo alianzisha Nyerere aliye anza na wahandisi watatu tu.usitake kutudanganya hapa Nyerere alituachia mambo mengi ya msingi kabisa ambayo waliomfuata walipaswa kuyaendeleza! na hata yeye hakuwa malaika yale mabaya wangeyaacha.

Matokeo yake wameharibu mambo ya msingi kabisa ya taifa hili,walianza na Azimio la Arusha,wakauza mashirika yote,sasa madini yote yanakwenda wengine tumebaki kuwa watazamaji halafu unasema alikuwa kiongozi mbovu,ulitaka atufanyie kama Mobutu? Nchi sasa inaongozwa na watu binafsi wenye nguvu za pesa na masikini hatuna chetu ndiyo maana tunamlilia nyerere!
 
Nimeisoma hii habari yako ndefuuuu mpaka nimefika mwisho ila sijaelewa hasa ni nini unachotaka kusema au ni nini hasa mchango wa hiki ulichokiandika katika maendeleo ya Tanzania yetu hii ya sasa. Unataka kutuambia kwamba kwa vile kipindi cha Nyerere kulikuwa na viongozi corrupt kwa hiyo ni halali na sasa tuwe na viongozi corrupt? Embu tupe link kati ya hicho ulichokiandika na hali ya Tanzania kwa sasa mkuu...Tusijadili historia tuuuu bila kujua inatusaidia nini katika maisha yetu kama watanzania wa leo.

Hoja ya msingi ni kwamba, watu wanaposema kwamba serikali ya Nyerere ilikuwa mbovu watetezi waachane na ujinga kwamba tusemao hivyo tuna chuki za kidini!!!
 
Ama kweli asiyejua maana haambiwi maana. Chuki yako i wazi na kama kweli ungekuwa ni mtu anayefuatilia hoja humu ndani usingesema hayo. Ni bora niseme unahitaji kusamehewa na kuombewa kwani hujui ulilolisema.

Watu kama nyinyi ndio kansa iliyowalenga kwenye thread hii! Mie niwe na chuki ya mwalimu kwa lipi...chalenji niliyotoa ni kwamba mtu anitajie hayo ambayo yanamfanya Mwalimu kuwa bora kiasi kwamba watu wasimseme! Utake usitake, umasikini wa TZ leo hii umechangiwa kwa kiasi kikubwa na utawala wake! Mwalimu alikuwa msafi yeye binafsi, lakini serikali yake ilikuwa na watendaje wabovu....kwahiyo yeye hawezi kukwepa lawama kv ndio top excutive! Taja mazuri ya Nyerere badala ya kukimbilia hoja chakavu kwamba nina wivu!!
 
Back
Top Bottom