Recent content by kiloleni

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mme wa mtu, ila nimempa staff wangu mimba, nifanyaje?

    Wakati unamtafuta hukuomba ushauri. Leo ushauri wa nini nenda clinic.....zinaa itakutafuna wewe na hawara yako.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Hivi zinakutosha kweli? Unasema unataka kuzaa na Mme wa MTU umeshindwa kupata wako? Subiri uwe chizi utatembea na chupi kichwani.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye tabia hii naomba muache

    Salute kwako hii ndo dawa . na usipopika yanaibuka mengine .
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza kimada wa boss

    huyu dada tahaira sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    aisee pole maana maumivu yake ni makubwa mno. ebu usikilize moyo kama ni mzito achana naye. kama ni bahati mbaya mbona hakukutongoza mata mbili?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

    Wakanye na wape taadhari, usijeambiwa yawezekana mlikuwa wote.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Polisi: Hadi Lindi

    Aisee, mshukuru Mungu kwa hilo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Akili imenikaa sawa, baada ya kuona vinyoyanyoya

    kwani ulitakaje?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Meseji hii kwa mume au kwa mke... Ungefanyaje?

    Aisee dunia hii!!~ ach kabisa!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

    Umetoa hoja ya maana kweli hongera sana. Unavowaona wa nje wazuri ujue na mkeo kuna wanao muona ni mzuri saaaana.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Polisi walima shamba la baba wa mfungwa

    hii ni swaafi saaana!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Walahi wanawake mmepewa kila kitu duniani kasoro.........

    mbona majanga!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka "English figure", if any, bado inawezekana

    aya maumbo nayo noma sana.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kisasi kizuri kwa msaliti wa mapenzi?

    aisee!!1 pole sana dada, usiumie sana kumbuka we ni mama mjamzito punguza mawazo usijepata presha kupelekea mimba kutoka, mtoto atakuwa faraja yako, mpuuze huyo mmeo.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nikiwa na mke wangu jogoo hawiki ng'o; nje anawika sana mpaka asubuhi

    kwanini hukutafuta dawa kabla hujaenda nje ya ndoa yako? huna maana.
Back
Top Bottom