Wanaume wenye tabia hii naomba muache

Wanaume wenye tabia hii naomba muache

hata mi huwa namind sana hii tabia, najikoki pika weee karangiza af mtu anakula vijiko viwili ananiboa
cc: mhusika
 
Sasa kama unapika chuzi kama bahari ,ubwabwa utadhani mtu unatafuna karanga nani atakula au nyama ngumu mpaka kuimeza inabidi utafute kwa kuegemea au ugali mgumu mpaka kuumega mpaka misuli ya mikono inakusimama kama unanyanyua kitu kizito.....inatakiwa ujiulize kwanini hali sio unalalamika..kwani huyo ni mumeo.

Ila mkuu sometimes huwa unanichekesha..hahahahah
 
Hongera kwa habari nzuri.Kwa kweli wanaume wanakera utakuta mwanamke kapika tena vizuri alafu mwanaume akija hali mnakera wanau me muache hii tabia

Mi nishaacha zamani hebu njoo unipikie uone kama nitakiacha hicho chakula labda kiwe na kasoro.
 
Kuna jamaa mkewe
hampikii,mke anapita gengeni kununua vihepe
mume akirudi anatengeneza chai na ubwabwa mkavu.
Wananifurahisha sana.
wapo kiroho safi.
na sabuni ya kuoga
kila mtu nana ya kwake.
hata ndoo za maji.

Mmmmmm hii ni kali ila mwanamke ana matatizo siku huyo mwanaume akipata mtu wa kumfumbua macho tu huyo mwanamke kaliwa!
 
Wanawake wazuri sana mtandaoni ila majumbani mnafanya vituko vitupu wengine hata kuweka maji ya kuoga ya mume au kauli nzuri ya kumfanya mume ajisikie kula hamna,mume akijua muda wa kurudi nyumban umefika anatamani aendelee kubaki kazini unadhani hapo hamu kula itakuwepo!?jichunguze na mchunguze mumeo kuna mmoja anamatatizo pia simu zipo kabla hujaandaa weka utaratibu wa kuwasiliana kama siku anachelewa kula akupe taharifa usipike na kama siku anawahi kula anakupa taharifa pia.Mimi mke wangu aandai chakula mpaka tuwasiliane maana pia inategemea siku hiyo nina hamu ya kula nini sio mchana nimekula ugali then jion tena uniwekee ugali maharage sili bora nikanywe soda nilale.

Exactly, Uko Vizur, Wanawake Wengne Wanajisifia Kupika, Kupika Vzur Sio Kuunga Mifuta Mpaka Ikaelea, Afate Ushaur Wako, Mana Anaweza Kuwa Anataman Mchemsho Jion Au Kitu Chepes, We Unapikapka Tu Ka Unamwandalia Mtoto Asojua Kusema, Msome Mmeo, Na Je Akirud Anakukuta Uko Katka Mkao Up
 
Mimi yf ameshakariri! Ktk maeneo ambayo naanzisha tifu ndani ya sekunde 0 ni ktk issue za misosi!
Msosi umechelewa! Msosi Kwa bahati mby sijui mkono umeteleza, chumvi imezidi!
Taarifa ya mapema muhimu! Na wakati wa msosi nawataka wote mezani, hakuna cha namalizia tamthiliya wala sijui dada yuko jikoni!
Unless nimechelewa kurudi, nakikuta mezani, napiga!
 
Mara nyingine utakuta unakula chakula cha mchana kwa wakati ukiwa kazini, lakini kutokana na kazi nyingi njaa inarudi tena, unajikuta baada ya kutoka kazini kabla ya kufika nyumbani unapitia mgahawani kula kidogo. Ndiyo ukirudi nyumbani unajikuta huwezi kula chakula kingi au unaacha kula kabisa.
 
Kila mtu na tabia yake,me bila kula msosi wa wife huwa sishibi kabisa,tena wakati nakula napenda akae tule pamoja,na ameishajua chakula akipika house girl huwa najua na sipendi kabisaaa.
 
Dada kama ni kila siku, inaweza kuwa kuna kitu kinaendelea. Lakini kama ni baadhi ya siku hiyo, haina shida. Kiafya usiku mtu hutakiwi kushiba sana, maana hakuna kazi kubwa unayofanya. Usidanganywe na maoni ya watu wasiokuwa na ndoa kama yanavyoonekana hapo juu, mume ni wako, wewe ndo unamfahamu zaidi kuliko mtu mwingine. Unapaswa kuchunguza kwanza kabla ya kuchukua hatua ya kuamka na kula chakula chote hadi kuvimbiwa kama alivyokushauri Nivea.

Kwa hiyo mkuu kudinyana kazi ndogo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom