RAIA Wa Kawaida
New Member
- Jan 15, 2014
- 2
- 1
Ulizani ile milupo yako ya ukiomba tu unapewa.... na kakuweza kweli. Udenda umekutoka weee wapi! Haha
kwani kuonana na mpenzi wako inamaanisha ngono?.....kwa hapa mimi ni limbukeni!
sasa wewe hueleweki unataka nini? maana unalalamika kwmb hataki kutoka mara unalalamika hataki kugegedwa, tukueleweje???
Huyu mtoto wa kike naishi nae hapa mtaani ni mwezi sasa tangu akubali ombi langu. Sasa wadau kilichonichosha, ingawa tuko mtaa mmoja, akawa anataka tuwe tunawasiliana kwa simu tu kama tunaishi mikoa tofati vile.
Eti mmewahi kuiona wapi hii jaman? Na kama kuonana basi atakuja ofisini kwangu kunipa hi na kuondoka. Nikimwambia tuonane private ili tupange future yetu vizuri, analeta stori nyingiiiii, mara ooh sijazoea kuzurura na sababu nyingine zisizo na mashiko.
So habari nzuri kwenu wadau ni kwamba nimemchana vya kutosha na kumwambia asepe ila pia kuonesha sishoboki kizembe, papuchi yake sijaigusa wala denda sijala.
SAMAHAN UANDISHI NI SHIDA KWA HII SIMU
Heading na story nzima haviendani.
Kweli yataka msaada kumwelewa huyu jamaa. Hapa umemkataa mtu au umekataa kuliwa? Mbona naona huyo dem alitaka kwanza uoneshe pochi. Yaonesha weye kidogo una tatizo hapo mtaani kiasi dem anaogopa hata kutajwa kuwa aliwahi kukuamkia shkamuuuu
namaanisha simuelewi hyu mtoto wa kike..yeye ni mtu anayeshinda nyumban, hana kazi.....kipi kinachomfanya ashindwe kuwa pamoja namimi ..tukatoka japo wikend.....kubadilishana mawazo na kujuana ana kwa ana na kutambua mapungufu ya kila mmoja wetu.....labda aliogopa kuonekana namimi watu wataniletea data za uchafu anaoufanya!
Anataka afuatilie nyendo zako kama wwe sio mchepuko angalia anakuja hadi kazin kutafta nn au unamtafutia kaz ofsini kwako? mvutie kasi utampata tu ndo ushauri wangu.
hahahahahah......ahsante mkuu ila umechelewa kunishauri kwani nishatema na maji nikanywa...sasa imebaki stori!
jaman kwani ninyi hamtoki na wapenzi wenu?...hapa acha nionekane mshamba!
kaniletee ya dadako!