Nimekaa huko na ulipoitaja regional hospital ( sokoine) nilijisikia kama nipo national vile....
Mi mwenyeji wa mpuguso mbeya mkuu
Umenikumbusha hayo maeneo especially ngujubwaje.
Aisee, mshukuru Mungu kwa hilo.
Daah acha kabisa pande za likotwa.. ..national...kariakoo.....mtanda.....vara etc etc daah nimepamiss sana lindi
asakuta same...huu ni uchokozi!!!aiseeeeh! ulimfaidi mama sharifa kama vile ulimtolea mahari...........
hlf Mentor muda wote huo hukuwahi kumpachika mimba?
ntalikwa, inatufundisha mengi...hadithi ina tufundi sha nini?
Baba sharifa angekuua
By the way cha mtu mav ila huliwa na mende
Mkuu daah!miaka gani hiyo.....ndo home kwetu. LINDI aka old Paris(LDDaah acha kabisa pande za likotwa.. ..national...kariakoo.....mtanda.....vara etc etc daah nimepamiss sana lindi
Mkuu daah!miaka gani hiyo.....ndo home kwetu. LINDI aka old Paris(LD