miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Sio rahisi kiivyo...
rahisi ni kufnyaje ? basi amwambie bosi nilimpenda ila kwa kuwa mali yako basi sorry
Sio rahisi kiivyo...
Doh hili balaa.
Kuna mdada niko nae kwa ofisi. alikua anaonyesha dalili zote za kuvutiwa
nami, Ikiwemo mitego mbalimbali Nami nikavutika na tayari taratiibu
moyoni akachukua nafasi. Kutokana na utamaduni wetu wa kitanzania
niliamini kua kwa dalili hizi anasubiria tu mimi ndio nitamke kua
namzimika.
Sasa last week nikaona nianze kumtongoza kupitia simu yake ya mkononi.
Halahaulaa kumbe ni mchepuko wa bosi mkubwa. Nasikia hata kazi yenyewe
ndo kampachika yeye. Si akamwonesha hizo meseji za mahabaati!
Bosi akanichimba biti. Mbaya zaidi kila mtu hapa ofisini amefahamu.
Yaani maisha yamekua magumu kwa kweli.
Kila nikijaribu kujikaza lakini wapi.
akili ya huyo dada ziko nusu afu ni mshamba eti kwamba amemuonesha uyo babu yake sijui ba mkubwa msg ili ajue kuna watu wanamtongoza sana au? na wewe mpige bit aache umalaya
Huyo dada nae hamnazo kama alikua hakutaki hakuwa na sababu ya kuonyesha sms zako kwa uyo mchuchu wake angekwambia kweli kuwa bosi kubwa ameshawahi. hakuwa na sababu ya kumuonyesha. uwo ni ushamba tu.