Location ndo inaamua bei ya materials na ndo itakupa gharama za makadirio.
Kwa sasa unatakiwa kujua unahitaji tofali ngapi, mchanga+cement kias gan etc
"mkataba wa mdomo!!!! " hapo Achana nae.
Okoa muda na nguvu zako.
Chukulia kama somo "learned hard way"
Tafuta jambo jingine ufanye.
Mtalipana kwa Mungu
Ama kweli kila mtu na Muda wake wa kutoboa.
Naona story yako imejirudia kwangu.
Ni miezi kadhaa sasa na Make >1M per month.
Soon nitaanza ujenzi wa nyumba full yenye hadhi In shaa Allaah
Amakweli kila jambo na wakati wake
Interstellar, Edge of tomorrow na inception zipo top ktk best sci-fi movies of all time.
Wapenzi wa sci-fi wote tunapenda hizi vitu. Bado naendelea kuzirudia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.