Inception: Movie ngumu ya Leonardo DiCaprio isiyochuja

Titans

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,459
Reaction score
3,375
Wadau,

Mimi ni mpenzi wa movies ambazo mtu inakuwa ngumu kuzielewa wakati unaziangalia, movie itaniboa iwapo nitatabiri mwisho wake mwanzoni mwa movie, najiita napenda movie NGUMU. Kwa mara ya kwanza niliiangalia INCEPTION ya Leonardo Di Caprio december 2010, kwa kweli nikaiita the best movie baada ya kuirudia mara tatu na kuielewa,dream within a dream.

Kuna misemo nillipenda sana.

"when you die in LIMBO, there is no coming back"
"People you see in dreams are projections of your thought"
"the more you go in a deeper layer of a dream ,the more unstable the dream becomes"

movies ngumu zingine nilizoona.
1.The Shutter Island
2.Sharlock Holmes zote
3.Thirteen(13)

Je wewe movies zipi zilikufanya ukarudia kuziangalia ili uelewe zaidi?au uka rewind many times while watching?
 
Christopher nolan ndio kazi zake hizo ni mpaka utulize kichwa.

Kuna hiyo
Inception
Interstellar
TENET na dark night japo hii sio sana.

Ila hapo kama hujatuliza kichwa nolan anakuacha gizani.

Kingine nolan huwa hakosei kwenye kuchagua actors na mara nyingi hupenda kuwarudia mfano yule mzee Michael caine yupo Kwenye hizo movie zote hapo juu na wengine watatu amewarudia humohumo.

Bongomovie kungekuwa na watu kama huyo jamaa basi ningeshawishika kucheck movie zao.
 
Upo sahihi moja ya favourite actors wa director Christopher Nolan ni Christian Bale. Huyu director anajua.

Hii filamu ni nzuri sana na ni fikirishi.
 
Edge of Tomorrow - Tom Cruise

Christopher nolan ndio kazi zake hizo ni mpaka utulize kichwa.

Kuna hiyo
Inception
Interstellar
TENET na dark night japo hii sio sana.

Ila hapo kama hujatuliza kichwa nolan anakuacha gizani.

Kingine nolan huwa hakosei kwenye kuchagua actors na mara nyingi hupenda kuwarudia mfano yule mzee Michael caine yupo Kwenye hizo movie zote hapo juu na wengine watatu amewarudia humohumo.

Bongomovie kungekuwa na watu kama huyo jamaa basi ningeshawishika kucheck movie zao.
Interstellar, Edge of tomorrow na inception zipo top ktk best sci-fi movies of all time.
Wapenzi wa sci-fi wote tunapenda hizi vitu. Bado naendelea kuzirudia
 
Movie nyingine za Christopher Nola ambazo unapaswa utulize akili ni;

Memento
Dunkirk
Insomnia
The Prestige
 
Christopher nolan ndio kazi zake hizo ni mpaka utulize kichwa.

Kuna hiyo
Inception
Interstellar
TENET na dark night japo hii sio sana.

Ila hapo kama hujatuliza kichwa nolan anakuacha gizani.

Kingine nolan huwa hakosei kwenye kuchagua actors na mara nyingi hupenda kuwarudia mfano yule mzee Michael caine yupo Kwenye hizo movie zote hapo juu na wengine watatu amewarudia humohumo.

Bongomovie kungekuwa na watu kama huyo jamaa basi ningeshawishika kucheck movie zao.
Unajua unachokisema 💯✊🏾
8375E83F-A6DD-444D-BD20-68A210507C08.jpeg
 
Yas muvi kali unaota, unaota tena humohumo aseee

Na bongo hivi hatuna idea za kufikirisha bongo tucheze?

Majuzi niliicheki na muvi moja ya warusi ya COMA mzee niliirudia mara mbili, muvi kali sana.

Bongo tunakwama wapi, Idea kama, kutoliwa na simba, kuongea na nyoka, au jeshi letu uzalendo, intelijensia tucheze hata muvi tumeiteka Rwanda basi....... kama kuna mwenye elimu amwage madini waunde script tuone sayansi mpya.

Idea za kumpenda mtu akukatae kuoa rafiki yake raha mustarehe, au kuwa maskini kutengwa kupata mahela ghorofa gari raha mustarehe, sijui mamamkwe mkorofi zinatosha sasaa tumezichoka
 
Wadau,

Mimi ni mpenzi wa movies ambazo mtu inakuwa ngumu kuzielewa wakati unaziangalia, movie itaniboa iwapo nitatabiri mwisho wake mwanzoni mwa movie, najiita napenda movie NGUMU. Kwa mara ya kwanza niliiangalia INCEPTION ya Leonardo Di Caprio december 2010, kwa kweli nikaiita the best movie baada ya kuirudia mara tatu na kuielewa,dream within a dream.

Kuna misemo nillipenda sana.

"when you die in LIMBO, there is no coming back"
"People you see in dreams are projections of your thought"
"the more you go in a deeper layer of a dream ,the more unstable the dream becomes"

movies ngumu zingine nilizoona.
1.The Shutter Island
2.Sharlock Holmes zote
3.Thirteen(13)

Je wewe movies zipi zilikufanya ukarudia kuziangalia ili uelewe zaidi?au uka rewind many times while watching?
Triangle
 
😂😂 interstellar kama sio mpenzi wa astronomy hata uangalie mara aftatu hautawah elewa... Ila ni bonge la muvy oyaa weee aijawahi kuichka hii muvy asee
 
Wadau,

Mimi ni mpenzi wa movies ambazo mtu inakuwa ngumu kuzielewa wakati unaziangalia, movie itaniboa iwapo nitatabiri mwisho wake mwanzoni mwa movie, najiita napenda movie NGUMU. Kwa mara ya kwanza niliiangalia INCEPTION ya Leonardo Di Caprio december 2010, kwa kweli nikaiita the best movie baada ya kuirudia mara tatu na kuielewa,dream within a dream.

Kuna misemo nillipenda sana.

"when you die in LIMBO, there is no coming back"
"People you see in dreams are projections of your thought"
"the more you go in a deeper layer of a dream ,the more unstable the dream becomes"

movies ngumu zingine nilizoona.
1.The Shutter Island
2.Sharlock Holmes zote
3.Thirteen(13)

Je wewe movies zipi zilikufanya ukarudia kuziangalia ili uelewe zaidi?au uka rewind many times while watching?
director's cut
 
DiCaprio huwa hakosei akicheza movie

Utamkubali tu utake usitake.

Kwenye blood diamonds jinsi alivyocheza mwenye uchu wa kulisaka jiwe la almasi hatari.

Kwangu Mimi hii ndio best movie yake tangu awe mtu mzima ukitoa titanic

Ngoja nitafute hio inception.
 
Renevant umeiona???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom