Vipi kama Tanzaniania tusingekuwa na bahari urefu wa mlima Kmajaro ungepipimwa kuanzia wapi?? na kwa mfano mlima Kilimanjaro ungelikuwepo Kongo Ndio kusema kimo chake kingepiwa kuanzia usawa wa bahari ya hapo Dar es salaam?
Usiombe tena ukawa sio mtoto wa kuzaliwa kwenye hiyo familia unaambiwa mnanenepeana tu hapa mnakula maharage ya buree.Fance ya michongoma inakuhusu(Yamenikuta Haya) [emoji23] [emoji23]
Lazima tuhoji,ni kwa nini Siku TL anapigwa risasi 38 kati ya hizi 16 zikaingia mwilini mwake wale walinzi wanaolinda makazi ya wabunge hawakuwepo ???
Sisi sio wajinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukiwa na uangalizi wa kimataifa na tume huru ya Uchanguzi bila shaka watanzania kwa Mara ya kwanza tutapata Raisi kutoka upande wa pili.Raisi wa mioyo ya Watanzania.Hawa wafadhili naomba kila kukicha waweke shinikizo zito ili mambo yaende sawa.
Kwa bwana yesu kila Goti litapigwa.
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.