Wale ambao hatutampigia kura mgombea yeyote wa CCM tukutane hapa

monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
7,482
2,000
Habar za muda huu wanabodi,

Nimeona ni vema tukafahamiana na kupeana mbinu za kuiangusha ccm kwa mwaka 2019 na chaguzi za mwaka 2020

Pia,kwa wale ambao tunao ndugu zetu waliopo vijijini ambao bado wanasinzia na kuamini kuwa kama wasipoichagua ccm basi yatatokea machafuko tuanze kuwaelimisha

Vilevile kama unao ndugu wanaokutegemea na wewe ni mfanyakazi wa umma basi waambie kuwa "nimeshindwa kuwasaidieni kwa kuwa viongozi wa ccm hawajatuongezea mishahara"

Naomba kila mmoja aje na mkakati wa kuifuta ccm ktk uso wa Dunia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
2,873
2,000
Usipochagua ccm utachagua wagombea wa chama gani
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,280
2,000
Edward Lowassa anakuwa kundi gani hapo?
 
Lucas Sabuni

Lucas Sabuni

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
600
500
Naipenda CCM. Kura ni muhimu niwapigie wagombea wake wote.
 
Top Bottom