Copy and paste?. Ni lazima tukopi au tuletewe na world bank? Hata la serikali yetu wenyewe? kwani machief wetu walicopy wapi kuanzisha serikali zao za jadi? Tuache ubinafsi wa kutajirika na siasa and
use our brains.
Unafiki mtupu hata ndani ya bunge ni unafiki mtupu. Utasikia naunga mkono hoja halafu malalamiko kibao sielewi. Wabunge wa CCM wanachekesha sana maelezo yao yanakinzana na hitimisho hivi wanamdanganya nani?
Unafiki mtupu hata ndani ya bunge ni unafiki mtupu. Utasikia naunga mkono hoja halafu malalamiko kibao sielewi. Wabunge wa CCM wanachekesha sana maelezo yao yanakinzana na hitimisho hivi wanamdanganya nani?
Tahadhari! Hebu tujiulize. Hivi dawa ya babu kama ni sumu ya kuondoa pole pole itakuwaje? Nani anajua athari zake? Huyu Babu mwenyewe umri umeenda inawezekana akili zake zimeanza kupoteza majira lakini kila mtu anakimbia huko.
Hiii sii hoja hoja ni kwamba Hivi kweli watanzania uwezo wa...
Dunia imekwisha! Mnataka kuwapa haki wavunja sheria? Wanavunja sheria ya asili mbayo ndio sheria mama halafu tunawachekea. Nitapinga mpaka mbinguni. Mlaaniwe wote mnaozungumza mnaoandika mnaofikiria na mnaofanya mambo hayo kufisadi maumbile
HA HA HA. Huko Marekani kuna afro-Americans mbona huko Arabuni hamna afroa-rabs. Watumwa waliopelekwa Arabuni hakuna alieoa? ina maana wote waliolewa wanaume kwa wanawake
Mambo makubwa ya wenzetu ambao tayari wanatafuta dawa ya dawa ya kuzuia za ukimwi. Sisi hata maji safi na salama ndani ya jiji kubwa la bongo ni issue . lazma mfadhili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.