Recent content by kilaojr

  1. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo manyoni idara ya sekondary nije pwani au dar,moro 0719192856
  2. K

    Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

    Dah! yule mzee alisema upepo ukivuma tutaona utupu wa kuku sasa tutaona hata wa kanga...kumbe ccm ndo madudu yenu mnayoyafanya kila anayeondoka mnamtuhumu mhh nadhani hata akihama magu mtamtuhumu...viva lowasa
  3. K

    CHADEMA imeingiliwa, inasikitisha ila ndio kweli

    haaaa magamba yameshamkubali lowasa ndie rais ajae
  4. K

    Rostam na Lowassa, msaidieni Meshack wa Channel 10!

    Jamani mtanzania mwenzetu anaomba msaada kwetu tunaleta mzaha.Mtoa post afya ya mtu haidhiakiwi na kumbuka mwenzio ana ndugu zake wanaosoma ujinga wako ulioleta hapa but hakuna mwenye hatimiliki na maisha yake.MUNGU akusamehe na akupe hekima ya kutafakari kabla hujapost.
  5. K

    Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    mwaka 2010 alileta usanii huu na akamfanya mgombea wa ccm kushindwa ikabidi ccm wampooze mgombea wao na ukuu wa wilaya bwana crispin
  6. K

    Hofu yatanda CCM, kilio cha mabadiliko chavuma kwa kasi

    Naibu mwenyekiti wa ccm anaishi kawe anahaha jinsi ya kumsaidia kippi warioba ioa hali tete kwa mdee.
  7. K

    Ukichagua CHADEMA usilalamike tena, umetaka mwenyewe!

    ccm hongereni kwa kuwatoa watu kwenye gongo na kuwaleta kwenye viroba kwa kasi mpya nguvu mpya na ari mpya sasa mnawaambia kazi tu wakati viroba vimewamaliza cjui hiyo kaz watafanyaje.
  8. K

    Kingunge ataka dakika 40 za kumchanachana Kikwete

    Ccm imedharau wazee na kuwaona ci chochote bali mavuvuzela ndio ya maana ya kutukana na kuwapiga wazee.Tukutane oct 25.
  9. K

    Msanii jela miaka 10 kwa kumiliki fisi

    Eti fisi wana garama ya shilingi ngapi?Soko la fisi lipo wapi mpaka bei ya fisi inajulikana wamekua mbuzi na ng'ombe mnadani hii sasa hatari!!!.Inakuaje serikali ya ccm inajua bei ya fisi duu kumbe ndo maana waliuza wale twiga na tembo.
  10. K

    Azam 2 mtasubiri sana kwa upande wa habari!

    TBC uongo na unafiki daima mbona watu wameidrop!!!!!
  11. K

    Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

    da wazo walkata ucku saa kumi.Wakirudisha hawa wafyatua matofali hawalali ni makelele mpaka kunakucha.
  12. K

    CHADEMA kimenuka Mbeya

    jaman kuna mama ametukana kwenye gari walkua wanalumbana kati ya magufuli na lowasa nani apewe kura basi mama mmoja wa upande wa lowasa akasema hatuwez kumpa kura uncircumsized person.
  13. K

    Nimerudi kutoka South Africa, Haya hapa nimejifunza

    Mkuu viongozi wetu hapa Tanzania hawaheshimu wananchi wao mfano tu kumtukana mwananchi kwa kumwambia bora ale nyasi ndege ya presda inunuliwe au malofa hii inaonesha wazi viongozi wetu hawatuheshimu.
  14. K

    Mgombea wa urais na maneno ya ukakasi

    kazi tu mama ntilie wanavunjiwa vibana na kumwagiwa biashara zao,kazi tu waalimu na madaktari mishahara yao hawajalipwa na posho zao.kama muadilifu hata rungwe na anna ni waadilifu kwani wana kashfa gani wachagueni basi....
  15. K

    Ewe Mtanzania na Mpiga kura naomba unisome kwa Makini!!

    mwenzio alisema bora lowasa ameenda upinzani akafie huko tunamzika yy j3
Back
Top Bottom