Mba Ta Sanja
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 383
- 44
WanaJF naombeni jibu:Ni kwanini kiongozi yeyote akitoka CCM ndipo panatangazwa mambo yake mabaya?Ina maana wachafu wote wajificha CCM?
Kaka, kwa nini usiwe unakaa kimya kama wenzako? unajichora sana na watu tunakusoma jinsi ulivyo kichwani.
Nakushauri utulie, acha kujibizana na watu humu!
Kwa mfano, hapo juu sasa ndo umeuliza nini? kweli?
Ndugu Wanabodi,
Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!
Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.
kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.
Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!
nawasilisha.
WanaJF naombeni jibu:Ni kwanini kiongozi yeyote akitoka CCM ndipo panatangazwa mambo yake mabaya?Ina maana wachafu wote wajificha CCM?
Mkuu, sina utaratibu wa kuwapongeza wachangiaji wa fact.Haya mambo ya kuhama vyama ni mambo ya kawaida nchi zingine. Hapa Tanzania yanatuumiza vichwa kwa kuwa ndio yanaanza. Huu ndio mwanzo na tatayazoea. Uhuru amekua rais wa kenya bila kupitia Kanu chama alichokiasisi babae mzee Jomo.
Toroka uje acha stor za abunuasi wewe wenzako wameshashtuka.
Mabadiliko yepi ya kimfumo utayapata kutoka kwa wana mtandao? Nyie watu zishughulisheni akili zenu msiwe mashabiki tu. Hilo liko wazi Lowassa was here kuendeleza mtandao uliotutesa hapa kwa miaka 10 sasa.
Hakuna nafasi za ukuu wa wilaya wala ukuu wa mkoa hawana kazi kwenye serikali ya Lowasa nafasi zao zinafutwa wakurugenzi watawajibika zaidi.kwa mawazo yako hayo umechelewa..
Hana maslahi tena CCM.Kama ni UBUNGO Kashatemwa.Alimtegemea Lowassa lakini sasa ndiyo hivyo tena. 1.Mimi naomba kuuliza kuhusu Msimamo wa Kingunge katika KATIBA PENDEKEZWA 2.Swali kwa Sumaye,Kingunge na Lowassa.Watuambie Je,Uchaguzi Mkuu wa 1995,2000,2005 na 2010 ulikuwa HURU Na wa HAKI??
Hana maslahi tena CCM.Kama ni UBUNGO Kashatemwa.Alimtegemea Lowassa lakini sasa ndiyo hivyo tena. 1.Mimi naomba kuuliza kuhusu Msimamo wa Kingunge katika KATIBA PENDEKEZWA 2.Swali kwa Sumaye,Kingunge na Lowassa.Watuambie Je,Uchaguzi Mkuu wa 1995,2000,2005 na 2010 ulikuwa HURU Na wa HAKI??
Hicho kitengo LB7 kinafungwa rasmi oct 24, sasa sina uhakika sana kama ulikuwa unakumbuka hata kutunza nauli ya kurudia kijijini Sitimbi.