Tatizo lako unatafuta kupotea wakati unaonekana wewe siyo mtu wa kupotea.
Nawasihi Watanzania msithutu kujaribisha kama moto unaunguza wakati vijana wamezuzuka na udanganyifu wataletewa mabadiliko kumbe wanaletewa viroba ili kuharibu akili zao wasije wakawasumbua, utamlilia nani wakati jamaa wako kimkakati kutunisha mifuko na matumbo yao.
Angalieni maneno yao mitanzania mijinga sana wanawadharau hata watu ambao ndiyo wapiga kura? Achaneni na usanii huo wa watu wachache wanaojikumbuka wenyewe, kuhama kwao siyo kumjali Mtanzania bali ni kuboresha maisha yao popote poale kwenye fursa angalia lowasa, sumaye, masha. Wapo kimaslahi hao binafsi.