Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,553
- Thread starter
- #81
Kwa kweli umeniaibisha. Sasa nadhani urudi nyumbani ukaanze kushalila migomba. Umbea wa mjini, ni wa kisomi. Unahitaji ka utafiti kidogo. Utafungwa. Kabla hayajakukuta, bora ukalime.
Acha wehu wewe, mie kama nani kwako? kama hauwezi ukafeel sympathy kwa hari hii huna haja ya kuwa karibu na mie katika aina yoyote ya maisha kwasababu sitaki ukaribu wa kinafiki so far.