Kwese wala azam tv hawawezi kuipora.dstv rights za epl na ucl apo labda ungeniambia Bein au canal wanataka kuingia ukanda huu wa dstv kununua rights apo ata dstv wangejinyea nyea awa kwese tv hawawezi kitu labda waishie kununu rights za rudby ,nba , cararagabao na ligi za mabonanza tena Bora ata...
Bado.sana watazunguka adi uchochoroni
Na vibajaji.vyenu lkn
Wasipo rekebisha punguzo la package kuanzia premium.watasubiri
Sana kupata wateja wengi
Watu wataendelea kutafuta option.zengine za bei.poa mfano.watu wasokA wengi wamekimbilia canal+ afrique.wanaona epl,la liga,uefa na matakataka...
NAMIMI NINAsiKIA KUCHOMWA kwenye miguu na mikono pamoja vidole yaani kama nachomwa chomwa sindano
na kuanzia kwenye mapaja nyuma mpkaribia na matako mpaka chi misuri inauma na kuchoma napata shida sana wadau silali
nimefanyaa mazoezi lkn wapi hali ile ile
NAMIMI NINADUKIA KUCHOMWA kwenye miguu na mikono pamoja vidole yaani kama nachomwa chomwa sindano
na kuanzis kwenye mapaja nyuma mpkaribia na matako mpaka chi mosuri inauma na kuchoma napata shida sana wadau silali
kuna huiii kitu hinaitwa Tstv Africa yawa nigeria inazinduliwa 1 mwezi wa 10. wao wenyewe wanasema bei zao zitakuwa rafiki na watu wote. Ilaa wataaanzia kwao uko nigeria nia yao wawepo kila sehemu Africa watapatikana Sat ya ABS 3A beam degree 3west Kinachonishangaza izo ch Za sport walizo...
sasa lagiga kati yaligi zina zinazopendwa na wengi utaiweka nayo sasa kwa taarifa yake watu wengi kibongo wana penda ligi ya vpl ,Epl na Uefa champion ligue iyo laliga wachachetu na labda el classico ichezwe ndo utaona watu wanaenda kuangalia na sivingine
Nyie endeeeni kujipa moyo Azam wataonyesha Epl na Uefa izo ni Ndoto. za mchana aisee labda izi ligi za mchangani ila co Epl na Uefa Ata amjiulizi tu Juzi tumeona dstv ka shinda Tena haki za kuonyesha Epl adi mwaka 2022 na apo apo Akashinda haki zs kuonuesha UeFa adi mwaka 2020
sasa Unataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.