Dstv offer zenu zinatuchanganya

Dstv offer zenu zinatuchanganya

Nadhani umekuwa ukinunua vifurushi tofauti tofauti that's why the messages keep changing. Huwa nalipia Compact na nilitumiwa message ya kulipa kabla wanipe Compact Plus, I paid and was able to watch UEFA semis.

Una bahati sana
 
Tuacheni kufananisha dstv na ving'amuzi vya hovyo hovyo
 
Azam Anakwenda Kuwafungashia Virago
Startimes, Dstv Hawana Tena Chao,
Mara Local Channels Zitakapoanza Kuonyeshwa
Azam wana kitu gan kipya, zaid ya soka la bongo, ambapo dstv hakipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom